Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Uzi umesimama ,Mimi ninao japo sio og ,siunajua Tena jersey za kibongo zinachakachuliwa...!Hii jerseyView attachment 2348787
Spurs huwa wanatuotea aisee ,na wanakuwaga wagumu kweli kufungika ..!Kituo kinachofata ni spurz na hicho kituo huwa tuna struggle sana kupata abiria...ila term hii watapanda tu hata kwa lazima
Spurs kama Man u, mpira wao dhidi ya Arsenal/ Man city lazima utakuwa transition based, hii inatokana na Arsenal/ City kucheza high line cuz of possession based, Spurs/ Man u wachezaji wao wa mbele wana kasi na pia ni killers in transition, unahitaji kuwa compact in defensive transition au kuwa secured to the extent usiconcede transition Kabisa hapo unaweza kushinda hizi game vinginevyo unapoteza.Spurs huwa wanatuotea aisee ,na wanakuwaga wagumu kweli kufungika ..!
Yaani hapa pep anatakiwa ahakikishe filimbi ya kwanza tu ni high pressing ,running , attacking bila kuchoka ....!
Spurs Kama kawaida yao ni counter ataack hawana mbinu nyingine hivyo basi beki zetu zijipange kweli kweli maana naona wakipata challenge kibao kutoka kwa son & Kane ....!
Spurs sio Kama sisi ,wakifika kwenye goli wapo clinical ,Wana clinical finisher hatari ,yaani kina dias ,stone ,kazi ipo ...
Kinachofanya watufinge spurs ni kupanda sana kwa cancelo na walker kule mbele ,nyuma anabaki stone na dias ,kitu ambacho wanazidiwa wakiwa 1v1 na son &Kane ....
Mbaya zaidi stone huwa anakabia macho ,yaan mtu ana dribble kuja golin yeye anamleta tu bila kufanya maamuzi ...Kwa zile counter za spurs ,angekuepo walker ingekua vizuri zaidi
Zishafika 4 [emoji2]Liverpool huko kashapigwa goli mbili na Napoli [emoji23][emoji23][emoji23]ngoma ngumu Sanaa ....
Si aliwaambia wakafanye booking ya hotel maana watarudi fainal [emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Aaah waache kipigwe banaaKuna tetesi zinasema game za weekend zinaweza kuahirishwa ..japo PL hawajatoa official...
Tayari wameshaahilisha game , weekend hii hakuna epl [emoji23]Aaah waache kipigwe banaa
DaahTayari wameshaahilisha game , weekend hii hakuna epl [emoji23]
Kwahiyo mikeka imechanwa na marehemu Queen E?Tayari wameshaahilisha game , weekend hii hakuna epl [emoji23]
Huu msiba umesababisha hata game ya Liverpool vs Chelsea kuahilishwa ,Europa arsenal vs psv kuahirishwa kisa maasikari watakuwa busy kwenye msiba wa qeen hakuna usalama [emoji23][emoji23]
Hawa jamaa tushawagongesha sana na j'tano lazima tuwagongeshe .Laporte tunaweza kumuona game ya Dortmund View attachment 2354897