Alexprosper
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 3,286
- 6,110
Jack wa Aston villa ni jack huyu wa city?Kiufupi ule ndio uwezo wake wa mwisho jack ,usijekutegemea kikubwa zaidi ,...!
Kiufupi kashindwa kufit kwenye mfumo tu ...Jack wa Aston villa ni jack huyu wa city?
Keshatia kambaniKiufupi ule ndio uwezo wake wa mwisho jack ,usijekutegemea kikubwa zaidi ,...!
Ngapi ngapiYani haaland ni jini asee ...yani first touch kamba
2:0
Wolves wanajua kujilinda mkuu ,wacha tusubili kipind cha pili ...Hawa mbwa wana red inatakiwa tubomoe haswaa....kipindi cha kwanza tumecheza vizuri ila kama tumeridhika mnoo baada ya kupata hizo goli 2