The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hili jukwaa linasikitisha sana, yaani lina watu wawili tu wanaojibizana wenyewe kwa wenyewe Herzog na Pain killer [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio maana hizi ng'ombe mbili muda wote unazikuta kwenye majukwaa ya wanaume zinapiga makelele.
Carrasco putin njoo uzichangamshe hizi ng'ombe za jiji.
 
Jukwaa gani uliniona kiazi wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Let's go the citizens
Foden ,haaland bench [emoji23] sijui pep anataka kutafuta Nini ....

Labda anajaribu kutoa uraibu wa haaland ,maana pep hapendi show ya mtu mmoja ,anajaribu kuonesha kuwa hata Kama hakuna haaland city iko pale palee .....!
 
Nina miaka sijui mi 3 sijawahi kuingia humu,kumbe Kuna mashabiki
Hili jukwaa linasikitisha sana, yaani lina watu wawili tu wanaojibizana wenyewe kwa wenyewe Herzog na Pain killer [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio maana hizi ng'ombe mbili muda wote unazikuta kwenye majukwaa ya wanaume zinapiga makelele.
Carrasco putin njoo uzichangamshe hizi ng'ombe za jiji.
 
City is football,without man city no football....!!!
 
Tulia wewe ....hiki sio kijiwe cha kahawa......angalia kwanza tunavyofyeka watoto huko hehehehe
 
Jukwaa gani uliniona kiazi wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] majukwaa yote ya wanaume hua unapita ukiwa umevaa bikini yako na kututingishia wowowoooooo
 
Foden ,haaland bench [emoji23] sijui pep anataka kutafuta Nini ....

Labda anajaribu kutoa uraibu wa haaland ,maana pep hapendi show ya mtu mmoja ,anajaribu kuonesha kuwa hata Kama hakuna haaland city iko pale palee .....!
Na hilo ni jambo la muhimu..huenda jamaa hakuwa fiti.ila hapo kwa foden ndo sijamuelewa
 
Ngoja niongee na Mods wabadilishe title ya jukwaa isomeke Yatima Fc.
 
Yani tukishinda hapa kweli sisi Majembe.....Hii red card ineharibu kila kitu..tushakua outnumbered
Kipindi cha pili tutaingia kupress kwa nguvu hivyo tutegemee kupigwa counterattack ambazo so za dunia hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…