Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jukwaa gani uliniona kiazi wewe[emoji23][emoji23][emoji23]Hili jukwaa linasikitisha sana, yaani lina watu wawili tu wanaojibizana wenyewe kwa wenyewe Herzog na Pain killer [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio maana hizi ng'ombe mbili muda wote unazikuta kwenye majukwaa ya wanaume wanapiga makelele.
Carrasco putin njoo uzichangamshe hizi ng'ombe za jiji.
Foden ,haaland bench [emoji23] sijui pep anataka kutafuta Nini ....Let's go the citizens
Hili jukwaa linasikitisha sana, yaani lina watu wawili tu wanaojibizana wenyewe kwa wenyewe Herzog na Pain killer [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nina miaka sijui mi 3 sijawahi kuingia humu,kumbe Kuna mashabiki
City is football,without man city no football....!!!Hili jukwaa linasikitisha sana, yaani lina watu wawili tu wanaojibizana wenyewe kwa wenyewe Herzog na Pain killer [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio maana hizi ng'ombe mbili muda wote unazikuta kwenye majukwaa ya wanaume zinapiga makelele.
Carrasco putin njoo uzichangamshe hizi ng'ombe za jiji.
Tulia wewe ....hiki sio kijiwe cha kahawa......angalia kwanza tunavyofyeka watoto huko heheheheHili jukwaa linasikitisha sana, yaani lina watu wawili tu wanaojibizana wenyewe kwa wenyewe Herzog na Pain killer [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio maana hizi ng'ombe mbili muda wote unazikuta kwenye majukwaa ya wanaume wanapiga makelele.
Carrasco putin njoo uzichangamshe hizi ng'ombe za jiji.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] majukwaa yote ya wanaume hua unapita ukiwa umevaa bikini yako na kututingishia wowowooooooJukwaa gani uliniona kiazi wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Na hilo ni jambo la muhimu..huenda jamaa hakuwa fiti.ila hapo kwa foden ndo sijamuelewaFoden ,haaland bench [emoji23] sijui pep anataka kutafuta Nini ....
Labda anajaribu kutoa uraibu wa haaland ,maana pep hapendi show ya mtu mmoja ,anajaribu kuonesha kuwa hata Kama hakuna haaland city iko pale palee .....!
Hivi unajua kuwa uko kwenye jukwaa LA klabu bora ya mwaka? Hehehehe raha sana heheheNgoja niongee na Mods wabadilishe title ya jukwaa isomeke Yatima Fc.