The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hawa ni wetu kabisa....tunawapakata kuanzia goli 3
 
Hakuna timu inayoweza kumpata Jude kwenye hili dirisha dogo..

Plan zote ni next seaoson pep alishasema hata kabla ya WC
 
Kwa fixture zilivyo , guardiola kaona ni vyema aanze kufanya rotation mapema ili isije kuwa bandika bandua.
Uwepo wa Rico lewis nadhani ni faida ule upande wa kulia ili kumuepusha walker na majeruhi ya hapa na pale hasa ukizingatia umri wake.
Ngoja tumuone kama bwana mdogo ata mantain mikiki.
 
Kipa wa leeds amewaokoa wenzake ingekuwa ni mbili au tatu.
Kule mbele pia hatujapata utulivu ,haaland kakamiwa, grealish bado hajawa serious na kazi.
 
Kipa wa leeds amewaokoa wenzake ingekuwa ni mbili au tatu.
Kule mbele pia hatujapata utulivu ,haaland kakamiwa, grealish bado hajawa serious na kazi.
Sio kwamba grealish ndio anampaaisha ,maana grealish sehemu ya kupiga mpira chini kuiingia golin anabutua juu[emoji2][emoji848][emoji848]
 
Kipa wa leeds amewaokoa wenzake ingekuwa ni mbili au tatu.
Kule mbele pia hatujapata utulivu ,haaland kakamiwa, grealish bado hajawa serious na kazi.
Haaland Mtu wa matukio tu kwenye build up haonekani ila akishapata nafasi tunaongea mengine
 
Grealish tulipigwa wanangu [emoji1786][emoji1786][emoji1786][emoji848][emoji3060]
 
Hatimae tutoe gundu Kwa hizi jersey [emoji3][emoji3][emoji3][emoji91][emoji91][emoji91]hatujawahi kushinda na hizi jersey kabisa ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…