Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rico lewis akiperfom na Leo basi ataanza kukimbizana na walkerLewis kashaaminika baada ya game ya Liverpool [emoji3]...
Mahrez na grealish wanaanza pamoja ,wakati hawapo on form ...
Cancelo &walker bench [emoji3060] ..
View attachment 2461416
Hawa ni wetu kabisa....tunawapakata kuanzia goli 3Leeds wana tabia ya kuifanya timu pinzani itoke kwenye mfumo wake refer game dhidi ya arsenal,Chelsea Liverpool. Ni wataalam wa kutibua mipango.
Ukiangalia game dhidi ya arsenal kwa mfano, utaona namna walivyoweza kuwafanya arsenal wawe out of possession.
Game ya Leo watakamia tutegemee kuona battle hizi.
Liam cooper vs Haaland
Marc loca vs KDB
Hakuna timu inayoweza kumpata Jude kwenye hili dirisha dogo..Hii January tusitegemee chochote,pep kashasema ...
Hakuna vya Jude wala nin [emoji3][emoji848]
Pep Guardiola: “I think we’re not going to sign any player in January, so we're going to finish this way”. [emoji838] #MCFC
“I don’t know what’s going to happen but since I arrived from Abu Dhabi, with Txiki Begiristain and everyone, there wasn’t any name on the table”.
Sio kwamba grealish ndio anampaaisha ,maana grealish sehemu ya kupiga mpira chini kuiingia golin anabutua juu[emoji2][emoji848][emoji848]Kipa wa leeds amewaokoa wenzake ingekuwa ni mbili au tatu.
Kule mbele pia hatujapata utulivu ,haaland kakamiwa, grealish bado hajawa serious na kazi.
Haaland Mtu wa matukio tu kwenye build up haonekani ila akishapata nafasi tunaongea mengineKipa wa leeds amewaokoa wenzake ingekuwa ni mbili au tatu.
Kule mbele pia hatujapata utulivu ,haaland kakamiwa, grealish bado hajawa serious na kazi.
Hilo jamaa takataka kabisaSio kwamba grealish ndio anampaaisha ,maana grealish sehemu ya kupiga mpira chini kuiingia golin anabutua juu[emoji2][emoji848][emoji848]
Guardiola anasema jack ana mchango mkubwa tofauti na kufunga na kuassist. Sijajua ni mchango upi.Grealish tulipigwa wanangu [emoji1786][emoji1786][emoji1786][emoji848][emoji3060]