The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Game plan ya Everton imetiki.
Wemeweza kutufanya tusicheze mpira tunaoucheza siku zote...flow ya mpira kutoka nyuma kwenda mbele haikuwa perfect kama mechi zingine tunazocheza ..game ilikuwa haijatulia kabisa.
All in all point 1 sio mbaya ngoja tumuone arsenal.
 
Asenyani wanabeba hii[emoji25][emoji25][emoji25]
City ina Haalland ila sioni mkibeba hili taji, first half Everton walicheza low block ila wachezaji wenu wengi waliachwa walikua na space kubwa tu ya kuweza kufanya chochote
 
Inabidi tugeuke wapiga ramli sasa
 
Ameeen sema naona wanakutana sana na vibonde ndo bahat yao[emoji25]
Eti vibonde [emoji23][emoji23][emoji23]

Kaangalie fixtures arsenal kakutana na wangapi big six, kisha angalia na wewe umekutana na wangapi iyo iyo big six
 
Eti vibonde [emoji23][emoji23][emoji23]

Kaangalie fixtures arsenal kakutana na wangapi big six, kisha angalia na wewe umekutana na wangapi iyo iyo big six
Nimeangalia ndomna nmesema hivo and btw enjoy it while it lasts,we coming for u.[emoji35][emoji35][emoji35]
Moto tutaouwasha sjui nan atazma.
 
Tatizo la pep ni Moja tu ,kamshindwa kufanya sub mapema ...

Grealish ,Mahrez ,berndao ,lewis Hawa ilitakiwa watoke HT ...

Tumefunga goli moja ,mpaka nikakereka aisee,wachezaji wamerelax na kutulia kabisa ,ile nguvu ya kutafuta goli la pili ikapotea ...


Tumerudishiwa ndio energy ikaanza ,kutafuta goli la pili ,too late ...

Arsenal ndio hivo kashachukua epl ,Sion arsenal akidrop point hata Moja ....
 
Sjui ndo too much confidence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…