Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
City ina Haalland ila sioni mkibeba hili taji, first half Everton walicheza low block ila wachezaji wenu wengi waliachwa walikua na space kubwa tu ya kuweza kufanya chochoteAsenyani wanabeba hii[emoji25][emoji25][emoji25]
Yanapigwa leoAsenyani wanabeba hii[emoji25][emoji25][emoji25]
Inabidi tugeuke wapiga ramli sasaGame plan ya Everton imetiki.
Wemeweza kutufanya tusicheze mpira tunaoucheza siku zote...flow ya mpira kutoka nyuma kwenda mbele haikuwa perfect kama mechi zingine tunazocheza ..game ilikuwa haijatulia kabisa.
All in all point 1 sio mbaya ngoja tumuone arsenal.
Ahahahah et Asenyani.Asenyani wanabeba hii[emoji25][emoji25][emoji25]
Bado mapema mkuuCity ina Haalland ila sioni mkibeba hili taji, first half Everton walicheza low block ila wachezaji wenu wengi waliachwa walikua na space kubwa tu ya kuweza kufanya chochote
Ameeen sema naona wanakutana sana na vibonde ndo bahat yao[emoji25]Yanapigwa leo
Hata ile game ilopita walitukazia hivihivi basi tu hawakuwa na bahati.....wametujulia
Brighton ni wabaya sana arsenyani hatokiAmeeen sema naona wanakutana sana na vibonde ndo bahat yao[emoji25]
[emoji23][emoji23][emoji23]Inabidi tugeuke wapiga ramli sasa
Eti vibonde [emoji23][emoji23][emoji23]Ameeen sema naona wanakutana sana na vibonde ndo bahat yao[emoji25]
Nimeangalia ndomna nmesema hivo and btw enjoy it while it lasts,we coming for u.[emoji35][emoji35][emoji35]Eti vibonde [emoji23][emoji23][emoji23]
Kaangalie fixtures arsenal kakutana na wangapi big six, kisha angalia na wewe umekutana na wangapi iyo iyo big six
Eee bry nao ni wabadiiii aseeBrighton ni wabaya sana arsenyani hatoki
Sjui ndo too much confidenceTatizo la pep ni Moja tu ,kamshindwa kufanya sub mapema ...
Grealish ,Mahrez ,berndao ,lewis Hawa ilitakiwa watoke HT ...
Tumefunga goli moja ,mpaka nikakereka aisee,wachezaji wamerelax na kutulia kabisa ,ile nguvu ya kutafuta goli la pili ikapotea ...
Tumerudishiwa ndio energy ikaanza ,kutafuta goli la pili ,too late ...
Arsenal ndio hivo kashachukua epl ,Sion arsenal akidrop point hata Moja ....