The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

dakika 89 nyongeza dakika 5 naona timu zote zimeshakubali matokeo. wakati huohuo Toure anachechema.
 
Na mpira umekwisha! City wanachukua nafasi ya 4 na point 16, Villa nafasi ya saba Points 13, Toure kaumia.
 
Beki ya Man City kwenye set pieces ni nyeupe sana washukuru kipa wao (Shay Given) ni mzuri.
 
To be honesty

Man City nayo yaaanza kudolola sio mwendo kasi walio anza nao na Hiyo ni kwa sababu ya kununua Super Star ila Kocha wao Talent hakuna mpira wanao ucheza ni wa experience hapo ngoja League ifike upande wa pili mje mwone kasi yao na Mwenzake swahiba Man United.

Hata Match ya Livelpol na Chels nayo hatukuona standard Fotball ilikuwa butua butua, ndio twajua at the end mshindi apatikane lakini hata mpira wa kuwaburudisha mashabiki duuuuuuuuu, ni bora hat Arsnal hutuburudisha sana na mpira wao hata kama wamefungwa walio shinda watatoka hawana rahaa kwani wanajua wameshindia basi tu
 

Maumivu ya kichwa huanza pole pole!
 
Naona mambo imeshaanza kuiva kwa majirani, huyu jamaa bora angeenda zake Spurs.

 

Kama hujui mambo ya mpira usikimbilie kuchangia maana unatuudhi..kama ulimaanisha Chelsea kwa kuandika chels basi unahitaji miaka mingi kujifunza football na hutakaa uelewa proffesional football ni nini..waulize hao uliowaita livelpol kama ulikuwa unamaanisha Liverpool watakueleza hiyo unayoita standard fotball kama ulikuwa unamaainisha standard football
 
Naona mambo imeshaanza kuiva kwa majirani, huyu jamaa bora angeenda zake Spurs.

Hiki ni kifaa wanashindwa kukitumia tu, yaani tungempata huyu!. Kulia Lennon, kushoto Petrov!.
 
duuh jamaa ManC wameshakubali kimoja...... Charles Nzogbia...kapiga bao....sasa ni mapumziko
 
Taratibu mshaanza kuchechemea..

...naaaaam, naaaaaam,....

pwani tunasema "...ngoma ivumayo haidumu,..." au vijana wa kimjini wanaita "... ilikuwa nguvu ya soda tu khakhaaa!"

Kwaherini Man City, jaribuni tena msimu ujao, ...labda na kocha mwingine...!
 
...kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.... nyie kama Spurs tu, kelele miiiiingi, hamkujua soda ni gesi tu?

kwaherini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…