Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehe ndetichia mtu mmoja Huyu anatusumbua sana naye Tuanze kumpa Presha Humu Belo Rubaman Mbu Nzi Huyu mtu naye soon atakuwa hata yeye hayupo hapa yupo peke yake utafikiri wapo 100
Naushad Kafia wapi? ZNZ nilikuwa naipenda Small Simba imekufa timu nafikiri Huyu ndetichia yeye timu zake Man City na Azam hehehe anarukia sitostaajabu Kama alikuwa Malindi enzi hizo au PSG sasa hivi........hahaha, nyie #UnidenticalTwins Ab-Titchaz na ndetichiaz leo mmeamua kuniamkia ee?!
Hii team yenu naifananisha enzi zile Malindi ya Zanzibar na mfadhili wake Naushad Mohammed.
Nguvu ya "soda" tu....
#MosKwito !
timu azam timu city na Leo tatu muhimuNaushad Kafia wapi? ZNZ nilikuwa naipenda Small Simba imekufa timu nafikiri Huyu ndetichia yeye timu zake Man City na Azam hehehe anarukia sitostaajabu Kama alikuwa Malindi enzi hizo au PSG sasa hivi.
Nipo na sasa hivi..
dk 15 new 0 - 0 mci
Naushad Kafia wapi? ZNZ nilikuwa naipenda Small Simba imekufa timu nafikiri Huyu ndetichia yeye timu zake Man City na Azam hehehe anarukia sitostaajabu Kama alikuwa Malindi enzi hizo au PSG sasa hivi.