The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mpaka sasa mna possibility ya kufikisha point 105
Kwa mechi zilizo baki siwaoni kama mtapoteza zaid ya point 5. Labda kuoata ubingwa mapema kuwale hang over
Naona tukishapata ubingwa na tukabahatika kusonga mbele kwenye UCL atakuw anapumzisha majembe yetu. Atakuw anatumia kikosi cha kawaida.
 
Kwa vigezo hivyo sasa hukutakiwa kusema kwamba city wameanza kupata mafanikio mwaka huu kwa sababu uliyolist hapo hakuna geni ata moja kwa City
[emoji460]Kama hyo EFL tumeshachukua sana hii ni mara ya 5 sasa kama sikosei.

[emoji460]Robo final UCL sio mara ya kwanza kuingia tulishaingia tukiwa na Pellegrin msimu wa 2015-16 kama sikosei..

[emoji460]Bingwa uteule siwezi kusemea maana bado huo uteule hatujapewa na haitakua mara ya kwanza kuchukua kombe la EPL

[emoji460]Kufikisha points 100 na zaidi pia siisemei sababu bado hatujafikisha na sina uhakika na hilo kama litatimia

Labda ungesema mwaka huu cty wapo kwenye ubora zaidi ndio ingeleta maana
Ulininukuu vibaya sijasema sema City wameanza kupata mafanikio mwaka huu mkuu.
 
Mpaka sasa mna possibility ya kufikisha point 105
Kwa mechi zilizo baki siwaoni kama mtapoteza zaid ya point 5. Labda kuoata ubingwa mapema kuwale hang over
Tukishinda game tatu zijazo ndio tutakua mabingwa wateule sasa baada ya kuchukua ubingwa sidhani kama kikosi kitakua kinapangwa cha maana sana ili kukwepa majeraha kwa wachezaji tegemezi kwaajiri ya michuano kama UCL, kwahiyo points 100 ni mziki mnene
 
Naona tukishapata ubingwa na tukabahatika kusonga mbele kwenye UCL atakuw anapumzisha majembe yetu. Atakuw anatumia kikosi cha kawaida.
Yes ni kawaida esp kama mtakuwa mme soge UCL
Ukisha kuwa bingwa hakuna haja ha kutia mbwembwe tena.
 
Aah! Kumbe hasimu wangu mkubwa kabisa? Sasa mkuu pale england wewe una heshima yako bn hasa kwa kombe la EPL ila nakuona kama unapotea na kupisha utawala wa timu nyingine
Bwana wee Sir Alex aliondoka na man utd yake bwana.
Ndio maana unaona saa hizi tunatoa mapovu halaf ina uma sana nyie noise neighbours mnafanya vzuri.
Yaan saa hizi ni shda sana kwetu
 
Hahah!! Yule mzee Feg alikua kama mwanga huwezi amini kuna kipindi nilikua namuombea kifo kabisa. Alipotangaza tu kustafu kufundisha nilifurahi sana maana nilikua na uhakika kua timu lazima itayumba tu
 
Sawa jirani
Ntakuwa nakuja kupuga stori humu na kubishana bishana mara moja moja.
Japo ni kaz kuipinga timu yenu now
Karibu sana mkuu! Waambie na marafiki zako waje. Mkuu mambo ya soka yanabadilikaga. Jana alikuw yule, leo huyu, kesho atakuw yule mwingine.
 
Hahah!! Yule mzee Feg alikua kama mwanga huwezi amini kuna kipindi nilikua namuombea kifo kabisa. Alipotangaza tu kustafu kufundisha nilifurahi sana maana nilikua na uhakika kua timu lazima itayumba tu
Hahaha
He was genious ! Ila alitufekisha kumuacha Moyes.
Hapo ndio tulipotea
 
Karibu sana mkuu! Waambie na marafiki zako waje. Mkuu mambo ya soka yanabadilikaga. Jana alikuw yule, leo huyu, kesho atakuw yule mwingine.
Mwaka huu ni kama watu hawaa mini amini.
Ila mkisha chukua ubingwa miaka kama miwili mfululizo watu watakuwa wanajaa humu maana watakuwa wanajua nyie ni threat. Na fan base itaongezeka
After two yrs huu uzi utakuwa unachangia sanaa!
 
Hahaha
He was genious ! Ila alitufekisha kumuacha Moyes.
Hapo ndio tulipotea
Moyes alitizamwa kwa jicho la mbali sana sema tu timu ilikua kubwa sana kuliko yeye na ndio kitu kilimpoteza kabisa
 
Mwaka huu ni kama watu hawaa mini amini.
Ila mkisha chukua ubingwa miaka kama miwili mfululizo watu watakuwa wanajaa humu maana watakuwa wanajua nyie ni threat. Na fan base itaongezeka
After two yrs huu uzi utakuwa unachangia sanaa!
Kuchukuw ubingwa miaka 2 mfululizo sio mchezo mkuu.
 
Nikweli mkuu
 
Kuchukuw ubingwa miaka 2 mfululizo sio mchezo mkuu.
Ni kweli
Ila nyie kwa kuwa mnaendesha mambo kisasa na mnakocha mzuri its possible.

Man utd bado tuko kwenye transition, Chelsea huwa hawatabiriki, Liver wana kocha mzuri asiye jua finishing na Arsenal ndio kama walivo.
Kwa hiyo mkijipanga mna beba
 
Back
Top Bottom