BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
pengine nusu fainali yaweza kua hiviTime will tell labda acheze fainali na Bayern
REAL MADRID Vs Bayern Munich
Liverpool Vs Barca
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pengine nusu fainali yaweza kua hiviTime will tell labda acheze fainali na Bayern
Let wait and seeKabisa bado naiona nafasi Ya City pale Etihad
Let waitLabda wapigwe kadi nyekundu liverpool kumbuka pep toka kaja england kamfunga liverpool mech moja tu ktk 4
Kweli mkuu.Let wait
Na ndo Madrid mnachoomba [emoji23][emoji23]pengine nusu fainali yaweza kua hivi
REAL MADRID Vs Bayern Munich
Liverpool Vs Barca
Mimi utabiri wangu ni huu.pengine nusu fainali yaweza kua hivi
REAL MADRID Vs Bayern Munich
Liverpool Vs Barca
Kwamba ashinde 4 bila au?Mkuu mie si City sema kuna hiyo Possibility
Tena isiwe kadi moja, ziwe kadi kama 3 hivi, hata mechi ya kwanza EPL City walipata advantage kwa Liver kupewa redcardLabda wapigwe kadi nyekundu liverpool kumbuka pep toka kaja england kamfunga liverpool mech moja tu ktk 4
Fact mkuu hata mm hua naamini hivyo klopp anamuonea sana pep huyu klopp anashambulia sana halina wogaTena isiwe kadi moja, ziwe kadi kama 3 hivi, hata mechi ya kwanza EPL City walipata advantage kwa Liver kupewa redcard
Man u bado roho inawauma tu[emoji13] [emoji13] tatzo sio makosa yetu ila nia salah na rob wanataka sifa!!Madrid anachukua kombe kwa mara ya tatu mechi wangeanza nyumban kwa city liverpool angekufa historia inawahukumu city nyumban kwa liverpool kibaya zaid karuhusu magoli mengi hata kama city atashinda mech ijayo ila liverpool lazima watapata goli nilipoona mech inaanzia nyumban kwa liverpool nilijua city yupo hatarin sana labda itokee miujiza tu pia klopp ndo kocha anaemsumbua sana pep mech ijayo natabiri sale liverpool kishapita.
Kipi kisichowezekana labdaKwamba ashinde 4 bila au?
Kumbuka Liverpool akili zao kwasasa ni kuhakikisha hawaruhusu goli, inshort hawaendi Etihad kutafuta magoli, yaani ni mwendo wa kuhakikisha hawawaruhusu City kuona lango lao,Kipi kisichowezekana labda
Zile 5 kwenye ligi ndo kiburi chenuKipi kisichowezekana labda
Kadi nyekundu ili mshinde tano tukiwa kamili 3+ zinawahusu.Kipi kisichowezekana labda
Mimi utabiri wangu ni huu.
Barca VS Bayern
Madrid VS Liverpool.
Ili Barca alipize kisasi
City kashaolewa na l'pool kwahiyo popote pale atavuliwa nguo tuKipi kisichowezekana labda