Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Woyooooooh!! Umetisha sana...
Shukrani sana sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Woyooooooh!! Umetisha sana...
Aiseee!!
Not RED.MANCHESTER IS BLUE
YeahThat is football mkuu hakuna jinsi
Ulibana kunipa ubingwa ila umejikuta tena umenipa bila kutarajiaYeah
Thats Shitty footbal!
Waache waje mkuu. Mancity wanacheza mpira wa kuvutia.Mashabiki wote wa man city rudini kwenye club zenu, wengi wenu mmekimbia Liverpool, Arsenal na Chelsea
HahahaUlibana kunipa ubingwa ila umejikuta tena umenipa bila kutarajia
Ubingwa ulikuwa wewe ukipoteza game mm nakuwa bingwa. wewe umepoteza leo na mm nimekuwa bingwa. Ila ni bora kwa njia hii kuliko ile ya mwanzo.Halafu kumbe wewe ni Man U, ndo maana unakataa ubingwa wa liver kwenye ucl.Hahaha
Alokupa ni west brom siyo mimi
Woyooooooh!! Umetisha sana...
Shukrani sana sana
Aiseee!!
Thanks thanks
Hahah! nyie wote mmenipaHahaha
Alokupa ni west brom siyo mimi
Na ndio maana ni Real Madrid. Alihama na RonaldoUbingwa ulikuwa wewe ukipoteza game mm nakuwa bingwa. wewe umepoteza leo na mm nimekuwa bingwa. Ila ni bora kwa njia hii kuliko ile ya mwanzo.Halafu kumbe wewe ni Man U, ndo maana unakataa ubingwa wa liver kwenye ucl.
Hata mimi nilitaka kuhamia alipo Joe Hart.Na ndio maana ni Real Madrid. Alihama na Ronaldo