kayeke
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,601
- 1,750
Hakika nimerudi mkuu!!! Nilipotea gafla. Habari zenu?Mkuu Keyeke nasikia harufu yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika nimerudi mkuu!!! Nilipotea gafla. Habari zenu?Mkuu Keyeke nasikia harufu yako
Safi mkuu, ulipatwa na nini aisee?Hakika nimerudi mkuu!!! Nilipotea gafla. Habari zenu?
Nilipatwa na majanga mkuu.Safi mkuu, ulipatwa na nini aisee?
Pole sana ndugu, sisi tupo tunalisongesha bhnNilipatwa na majanga mkuu.
Asante mkuu! Naona mambo sio mabaya.Pole sana ndugu, sisi tupo tunalisongesha bhn
Kabisa mkuu sio mabaya sana, naona leo tunaweza kukabiziwa kombe rasmiAsante mkuu! Naona mambo sio mabaya.
Alafu Liv wametufanya kitu kibaya mwaka huu!!Kabisa mkuu sio mabaya sana, naona leo tunaweza kukabiziwa kombe rasmi
15:30 mkuuMkuu match ya leo inachezwa saa ngapi?
Ule ni udhalilishwaji acha tuAlafu Liv wametufanya kitu kibaya mwaka huu!!
Will be missing him (Toure Yaya)Yaya Toure anaweza kujiunga na timu nyingine ya Premier League mwisho wa msimu endapo atafungashiwa virago vyake Manchester City, Everton, Burnley na waliopanda daraja Wolves wamekuwa wakivutiwa na kiungo huyo mwenye miaka 34.
City imenyakua ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu ikijikatia mapema tiketi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao.
Upande mwingine Uongozi wa Everton imefichua kuwa, bosi wa FC Porto, Sergio Conceicao (43) anaweza akachukua mikoba ya Sam Allardyce, kama Meneja huyo ataondoka Goodison Park.
Aaah mkuuDuh!!!! 100 zimegoma!!!!
Shukrani mkuuHongereni mashabiki wote wa City kwa ubingwa na kufikisha point 100