Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Table inamuonekano tofauti kabisa [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] mwenzangu yani acha tu huu uzi siku hizi naumiliki mimi tu....[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125][emoji125][emoji125]ngoja nijiondokee mie. Naona umemilik uzi
[emoji23][emoji23][emoji23] mwenzangu yani acha tu huu uzi siku hizi naumiliki mimi tu....
Wenzangu naona walikua ni mamluki wamesharudi kwenye timu zao...
Aisee itakua hivyo rafiki yangu kumbe nilizungukwa na wanafiki humu [emoji23]... sasa nitakua najipostisha mwenyewe humu labda na wewe ukiwa unanikumbuka na taarifa zako[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] mbavu zangu weeee,watakua liver hao maana wanainyemelea ucl baasi wanaona kuna afuen saiv kwenye timu yao. Au arsenal baada ya wenga kuondoka
Aisee itakua hivyo rafiki yangu kumbe nilizungukwa na wanafiki humu [emoji23]... sasa nitakua najipostisha mwenyewe humu labda na wewe ukiwa unanikumbuka na taarifa zako
Haina shida aisee karibu sanaHahaha watakuja tu true fans. Mie tena situpagi uzi wowote ntapita tu
Mkuu tupo mbona.[emoji23][emoji23][emoji23] mwenzangu yani acha tu huu uzi siku hizi naumiliki mimi tu....
Wenzangu naona walikua ni mamluki wamesharudi kwenye timu zao...
Mkuu samahani sana, sim yangu ina matatizo. Ndo maana hunioni kama zamani.Aisee itakua hivyo rafiki yangu kumbe nilizungukwa na wanafiki humu [emoji23]... sasa nitakua najipostisha mwenyewe humu labda na wewe ukiwa unanikumbuka na taarifa zako
Kwema mkuu?....Mkuu samahani sana, sim yangu ina matatizo. Ndo maana hunioni kama zamani.
Asante mkuu!!! Ngoja tusubilie usajili, naona safu yetu ya ushambuliaji imeonekana kuchoka mwishoni.Kwema mkuu?....
Najua wewe shabiki damu wa City mkuu wala usijari tupo pamoja pia pole sana kwa matatizo ya simu uliyopata......
Nikweli yani wamekua tia maji tia maji sana ila kila mchezaji namuona ni nondo sijui labda uchovu tu...Asante mkuu!!! Ngoja tusubilie usajili, naona safu yetu ya ushambuliaji imeonekana kuchoka mwishoni.
Hata mimi nashindwa kuelewa tatizo, kama ni uchovu, mbona ma timu mengine anafungaga? Kutakuw na tatizo sehemu.Nikweli yani wamekua tia maji tia maji sana ila kila mchezaji namuona ni nondo sijui labda uchovu tu...
Inawezakana mkuu ila mimi kilio changu beki tu, unajua ule ukuta ni ghari sana lakini wanachofanya hakiendani kabisa na pesa zilizowekwa paleHata mimi nashindwa kuelewa tatizo, kama ni uchovu, mbona ma timu mengine anafungaga? Kutakuw na tatizo sehemu.
Ni kweli, beki haijakaa vizuri,Inawezakana mkuu ila mimi kilio changu beki tu, unajua ule ukuta ni ghari sana lakini wanachofanya hakiendani kabisa na pesa zilizowekwa pale
Wacha tusuribi usajiri wakati huo tukisindikizwa na World CupNi kweli, beki haijakaa vizuri,
Sawa mkuu,Wacha tusuribi usajiri wakati huo tukisindikizwa na World Cup
Ila nimefurahi kile kilio changu cha muda wamekitimiza 100 pointsSawa mkuu,
Hahahaha, jana nilikuw nimeshakata tamaa nilipoona dakika 90 zimekatika bila chochote.Ila nimefurahi kile kilio changu cha muda wamekitimiza 100 points
Gabriel alisaidia sana hilo jambo kutimia, pongezi nyingi kwakeHahahaha, jana nilikuw nimeshakata tamaa nilipoona dakika 90 zimekatika bila chochote.