The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

wewe mfarisayo mimi sio man city na wala sitokuwa
Mechi nilizoziona za city ni zile za ulaya wakifika kipindi cha pili coach anabadilisha kila mchezaji wala hatizami wapi kwenye pengo na uliona matokeo timu ilitolewa hatua za mwanzo, na ni aibu kubwa sana kwa city kutolewa hatua ile
 
Ngoma bado iko level pale juu!
Glory! Glory! Man United!
 
....great, no more invincibles talk from now onwards....welcome to 2012 buddies, hehe!
 
....great, no more invincibles talk from now onwards....welcome to 2012 buddies, hehe!

Mbona walishakung'utwa tu mara nyingine, wamekuwa crowned mabingwa na UK media wakati hata hawafahamu what next! nafahamu wanaweweseka tuliwapa magalasa yetu chacha angalia wanavyo-perform ... ...
khe khe khe keh kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Wasikutie pressure hawa wapo kama SPURS TU MALOLOSO KIBAO WAKATI MPIRA HAWAJUI.
 
baba hii ni zaidi ya maumivu kwani goli dk za nyongeza duu.. ngoja tuone huko mbele mbele..

Sana mkuu nimeona hilo goli aisee ni noma kwa kweli, na limewauma sana mashabiki naona maana limefungwa dakika za majeruhi kabisa.
 
nilipoona silva na dzeko na aguero ndani nkazima tv nikidhani basi tena nikiamka nitakuta city ana karamu ya magoli ... haha .. poleni xana...
 
offside kaka lile!
article-0-0F50952600000578-776_468x408.jpg

Mali ya dhuluma hailipi?
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
in the
heart of Milan fans the real hero is Filippo
Inzaghi.
Every match Milan fans sing: "Ohi Ohi Ohi
Pippo Inzaghi segna per noi,” even when Pippo is not on the field.
 
hala la city why this was not to black cats..
ease win city 3 - 0 looserpool..
 
Mbona walishakung'utwa tu mara nyingine, wamekuwa crowned mabingwa na UK media wakati hata hawafahamu what next! nafahamu wanaweweseka tuliwapa magalasa yetu chacha angalia wanavyo-perform ... ...
khe khe khe keh kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Wasikutie pressure hawa wapo kama SPURS TU MALOLOSO KIBAO WAKATI MPIRA HAWAJUI.

pole sana foolhammer wamekupa zawadi ya nyu iya khaa khaaa...
 
Today's Game
game: city v devils
time: 1:00 PM GMT (4:00 PM TZ time)
venue: etihad stadium
referee: C Foy

FA Cup

viva la city..
 
Back
Top Bottom