Wandugu Masanja
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 1,574
- 522
wewe mfarisayo mimi sio man city na wala sitokuwa
Mechi nilizoziona za city ni zile za ulaya wakifika kipindi cha pili coach anabadilisha kila mchezaji wala hatizami wapi kwenye pengo na uliona matokeo timu ilitolewa hatua za mwanzo, na ni aibu kubwa sana kwa city kutolewa hatua ile