Ikhojo
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 527
- 448
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji122][emoji122][emoji122]Usiombee mwenzako kufungwa, sisi tupambane tushinde zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji122][emoji122][emoji122]Usiombee mwenzako kufungwa, sisi tupambane tushinde zote
Mm nataka tuchukue uefa ishima ipande ili wakose sababu ya kuacha kuita city the greatUEFA tunaenda fainali na tunaxhukua ndoo
Mkuu uefa hata akitoa sare moja safi.Jamani tupunguze mihemko lakini, maana Tot.., kumbukeni tutacheza nae mara 3 kwa maana ya kesho hapo kwake ,tarehe 17,Etihad mechi ya marudio, ona sasa tarehe 20 tu tena tutakuwa nae hapo Etihad, hofu yangu ni hii je atakubali kuwa mteja kwa game zote 3 ? Naomba kuwasilisha wakuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua awa kuchi wakijichanganya tu kutoa sare imekula kwao.Haya mechi ingine niya palace tunawafuata kwao je watakubali kugongeshwa au watakomaa watoe droo! ukweli hizi game 2 hizi zina ninyima ucngizi ndo maana naombea Chelsea wafanye ya kufanya hiyo J. pili kwa hao kuku wawanyonyoe kabisa hapo ndipo imani yangu itaongezeka zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
UEFA Champions League final mhimu wala hilo usiumize kichwa kabisa dalili zake zipo kesho.Mm nataka tuchukue uefa ishima ipande ili wakose sababu ya kuacha kuita city the great
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah.Sijasema mechi zote tutashinda. Kwenye Uefa wanaangalia matokeo ya mechi ya mwisho. Kama atashida mechi moja na akaachwa kwa agr.
Mfano mechi yoyote tot akishinda 1 - 0 na mechi ya pili akalala 2 bila,
Haimaanishi kapigwa zote ila hata songa. Huko kwenye uefa hakuna shida saaaana.
Palace sijaona atakapotokea.Palace anakaaa 4. Amini nakwambia
Liverpool kupoteza ni kazi yan ata tusiwazie inabidi tushinde zote tuUsiombee mwenzako kufungwa, sisi tupambane tushinde zote
Kweli ndo maana naombea Chelsea wakaze ile ile.Unajua awa kuchi wakijichanganya tu kutoa sare imekula kwao.
Wakifanya hvyo watatupa uwanja mpana sana wa kujiachia
Sent using Jamii Forums mobile app
De bruyne says " we don't care if its their new stadium or wembley" if we beat them at wembley 80000 we can do also at 60000 new stadium
Msimu huu wa uefa umetukubali vzr.UEFA Champions League final mhimu wala hilo usiumize kichwa kabisa dalili zake zipo kesho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli ni kazi lakini amini lazima kuna game atatoa droo lazima.yaani game za hivi karibuni amekuwa akishinda kwa mashaka mashaka sana vigoli vya uongo na kweli tuLiverpool kupoteza ni kazi yan ata tusiwazie inabidi tushinde zote tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea msimu huu kapoteana sana.
[emoji1] ni kwel mkuu yan kam ni bahat basi kwao imezidi .Kweli ni kazi lakini amini lazima kuna game atatoa droo lazima.yaani game za hivi karibuni amekuwa akishinda kwa mashaka mashaka sana vigoli vya uongo na kweli tu
Sent using Jamii Forums mobile app
De Bruyne nae makeke yake mi naona ka kapoa vile anyway tunaamini mipango iko sawa hii ni ishara nzuri kuwa washajengwa vizuri ki saikolojia kuondoa hali ya ugeniniDe bruyne says " we don't care if its their new stadium or wembley" if we beat them at wembley 80000 we can do also at 60000 new stadium
Sent using Jamii Forums mobile app
Majeruhi yamempunguza sana makali.De Bruyne nae makeke yake mi naona ka kapoa vile anyway tunaamini mipango iko sawa hii ni ishara nzuri kuwa washajengwa vizuri ki saikolojia kuondoa hali ya ugenini
Sent using Jamii Forums mobile app