goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,432
- 5,036
Winger.
Profile yake inaonyesha alipitia arsenal na barca under 18 before cntracted
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Winger.
Winger.
Profile yake inaonyesha alipitia arsenal na barca under 18 before cntracted
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakwambia saa hii Chelsea hawana macheko hata kidogo.Kwa alivyocheza hazard jana liverpool wamuangalie sana laa sivyo game haitakuwa draw watafungwa na apo ndo patam
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa Manshiti washinde game ya leo ili watandikwe kwenye EPLMsimchukulie Tot kivyepes mana mnakuaga na kidharau fulan hiv....mshajionaga nyie ndy nyie
Tot hawez kupigwa na city mara 3 mfululizo....hawez shinda zote hzo, ubingwa wa liverpoolAisee kweli yaani
Pochetino hawezi kubali kupigwa jumanne na jumapili
Liverpool sisi tunamkalisha ubingwa anabeba Man cityTot hawez kupigwa na city mara 3 mfululizo....hawez shinda zote hzo, ubingwa wa liverpool
Tot hawez kupigwa na city mara 3 mfululizo....hawez shinda zote hzo, ubingwa wa liverpool
man City tunawajua
Walimpiga Chelsea 6 game inayofuata wakadraw 0-0 hadi Extra time
Spurs aezi mkazia man city kama sisi.man City tunawajua
Walimpiga Chelsea 6 game inayofuata wakadraw 0-0 hadi Extra time
Spurs aezi mkazia man city kama sisi.
Ata bahatisha draw kwenye uefa lakin ligi anakalishwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile game ilishangaza sana.....ndy kitakachomkuta saiv, united nae sidhan kama atalegeza wakat top 4 anachechemea saiv
Old Traford ingawa matokeo yote matatu yanawezekana ila mechi ngumu sana hiyo. City wapo kwenye ubora na Man Utd watataka nao wasipigwe nje ndani msimu huu tena Derby
Ni kweli mkuu ila. Matokeo muhimu leo ioi etihad ata wakitoa sare kwenye CL iwengumu kwenye PLMsimchukulie Tot kivyepes mana mnakuaga na kidharau fulan hiv....mshajionaga nyie ndy nyie
Mechi ya leo tutakua kwao ioa zijazo zote wanakuja etihad.
Sio bahat ila somtmes wanakuwa wajinga sana .Inawezekana ila sasa Tot kama hawana bahati hata kidg, wataupiga fresh lakin hawaend kokote. Wanatakiwa washinde au wamtoe city kabsa sema kuna ugumu