The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Manazi wa City siwapi pole bali nawapa hongera! Jitihada iliyoonyeshwa leo na vijana wenu si haba, sema tu fitna za waingereza zimewazidi.... dakika zaidi ya 80 mkiwa kumi si mchezo...
 
People forget that Evans was also red carded in that 6-1 Man City win...This is soccer and unexpected things happen..People win people lose...Man United won today..Congrats United..
 
Nasikia wata-appeal kutokana na bahasha kuwa nene zaidi.
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Concentration yetu sasa iko kwenye Ligi kuu. waache Man U nao waambulie FA safari hii.
 
kwahiyo man city mmechapwa?why why why?
poleni wakubwa ndo mpira asee ila tulitamani sana muwapige awa masheyani walahi
 
People forget that Evans was also red carded in that 6-1 Man City win...This is soccer and unexpected things happen..People win people lose...Man United won today..Congrats United..

na hongera nyingi kwa chama langu pamoja na kupewa red kadi kampany tumewaoneshatuko juu zaidi yenu pamoja na foy wenu..

viva la city
 
Chacha mkuu anza kusuka tu si unaona hata kina Nasri wanajuta chacha kwa nini waliondoka Emirates ... .... ..club kubwa zipo chache tu na nyinyi hampo kwenye list. Hivi mnacheza mashindano gani tena? khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
EPL Carling na europa swali jengine..
 
halafu hii mijitu ya ManCity sijui vipi hii..............eti ili-appeal red card ya V. Kompany........ona sasa FA wametoa uamuzi.........kwa wasiojua/hawakucheza soccer wataona kaonewa...........lakini tuliocheza soccer tunaelewa ile ilikuwa kadi halali......
 
Back
Top Bottom