Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Leo Man U hawatakubali kupigwa tena lakini wanaweza pigwa.
Hawakubali kweli leo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo Man U hawatakubali kupigwa tena lakini wanaweza pigwa.
Hahahah...naona sita nyingine!Hawakubali kweli leo!
Hahahah...naona sita nyingine!
Mwaka huu kabaki tu livapul kudhalilishwa!
Wapi manazi wa Man City mtupe updates?
Mme susia uzi wenu
kwahiyo man city mmechapwa?why why why?
poleni wakubwa ndo mpira asee ila tulitamani sana muwapige awa masheyani walahi
Concentration yetu sasa iko kwenye Ligi kuu. waache Man U nao waambulie FA safari hii.
People forget that Evans was also red carded in that 6-1 Man City win...This is soccer and unexpected things happen..People win people lose...Man United won today..Congrats United..
Chacha mkuu anza kusuka tu si unaona hata kina Nasri wanajuta chacha kwa nini waliondoka Emirates ... .... ..club kubwa zipo chache tu na nyinyi hampo kwenye list. Hivi mnacheza mashindano gani tena? khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
EPL Carling na europa swali jengine..