Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] city timu inayochukiwa zaidi ulimwenguni.
Yan tunachukiwa mpaka spain
Mpaka france.
England ndo usiseme.
But this is our age.
We may not take UCL but not other trophies
Atafundishaje timu isiyoweza ata kuingia top 4?
Uko ni kumdhalilisha pep.
Ni sawa aende arsenal.
[emoji3] [emoji3]
Kwa hatua aliyoikuta hiyo timu na muda aliokaa hapo ilitarajiwa iwe amechukua UEFA kama mara mbili.Makombe aliyochukua ni yale yale yaliyokuwa yanachukuliwa na akina Manchin na Pelegreen, huyu akipewa timu kama West Ham lazima ishuke daraja!Amechukua makombe mengi kuliko kocha wowote ndan ya miaka 7
Ww ni mmoja wapo.Mnaji-overate sana kusema mnachukiwa sana Ulaya, kwa kipi!
Yaani watu waache kuchukia Madrid wachukie timu ambayo haiingiagi hata Nusu Fainali?
Ukitafuta list ya makocha bora au makocha waliochukua vikombe vingi huwezi kumkuta kocha akiwa na timu iliyo nje ya Top fourKati ya hayo makombe kuna timu gani aliyoifundiaha ikiwa nje ya top 4 ikapanda mpaka kunyakua kombe?
Mwakan tunachukua.Kwa hatua aliyoikuta hiyo timu na muda aliokaa hapo ilitarajiwa iwe amechukua UEFA kama mara mbili.Makombe aliyochukua ni yale yale yaliyokuwa yanachukuliwa na akina Manchin na Pelegreen, huyu akipewa timu kama West Ham lazima ishuke daraja!
Ww ni mmoja wapo.
Ila mwakan tunaahidi UCL piga uwa .
Najua kabisa hupendi hichi kitu kitokee na ninajua ni kwanini hupendi kitokee 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Messi asahau CL 2018
Watoto nimewapenda bure, baada timu yangu kutolewa najipoza na AjaxCL ya ajax
Unapozungumzia EPL unazingumzia city.Mimi ni mshabiki wa EPL ndiyo maana, nimekuuliza, City imefanya (ina) nini cha kuogopesha Ulaya mpaka tuichukie?
Achana EPL, zungumzia Ulaya.
Ajax ni wazuri ila mtaikataa kwa spurs.Watoto nimewapenda bure, baada timu yangu kutolewa najipoza na Ajax
Nothing mkuu yani hapo hatuhitaji ata kujiuma uma kujibu swali lako. Linapokuja swala la Ulaya City hatuna uwezo wa kujitokeza mbele na sisi tukapaza sautiMimi ni mshabiki wa EPL ndiyo maana, nimekuuliza, City imefanya (ina) nini cha kuogopesha Ulaya mpaka tuichukie?
Achana EPL, zungumzia Ulaya.
Nusu fainali tutegemee chochote kinaweza tokea,Ajax ni wazuri ila mtaikataa kwa spurs.
Labda spurs wasicheze kama walivyocheza na city kwa sabab walitukamia sana,na poch anauhasimu na pep
Davet achana na uyu jamaa atupendi.Nothing mkuu yani hapo hatuhitaji ata kujiuma uma kujibu swali lako. Linapokuja swala la Ulaya City hatuna uwezo wa kujitokeza mbele na sisi tukapaza sauti
Unapozungumzia EPL unazingumzia city.
Pia UEFA madogo tu wanahenya wanakosa kiu kabisa.
Hata hvyo kwa njia aliopita liverpool city angeanza kuongoza kundi kupita mpaka final. Jana umejionea mwenyewe walivyobebwa watoto wale.
Yeah ila fainali inaweza ikazihusisha timu za england tu.Nusu fainali tutegemee chochote kinaweza tokea,
Mr. Don hebu sema interval yenu ya kuchukua UEFA utagundua inasikitisha pia .Ninachokiongea sicho unachokiongea.
Nafikiri niishie hapo.
Inaweza tokea,, ila kila nkiwaangalia Ajax, wale watoto sijui wametafuna mizizi gani aiseeeeh,, maninaaa zao hawachoki kabisa kiukweli,, alafu kama miguu yao ina 4G ivi, sijui unanielewa mkuu? Ila hawa Spur nao kama nyuki vile ukipiga kelele ndo wanakuja yaaani,, yule SON daah sijui ana kifua cha kugh-fu? Ila timu zote nusu fainali zinachezea mpiraYeah ila fainali inaweza ikazihusisha timu za england tu.
Nothing mkuu yani hapo hatuhitaji ata kujiuma uma kujibu swali lako. Linapokuja swala la Ulaya City hatuna uwezo wa kujitokeza mbele na sisi tukapaza sauti