Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ukuta wao kama wa matofaliView attachment 1080171
Naona wamekuja kujilinda leo sio kwa formation hii
Ndio maana kauli mbiu yangu ni kwamba Kila mtu ashinde mechi zake zote maana Ile njia ya kuombeana mabaya haifanyi tena kaziHatuna mechi ya kupoteza tena kwa sasa afe kipa ama afe kocha kwa kiwewe.
Liverpool wanajifanya hawajui kwamba mnacheza na timu ambayo mnaishabikia 😂😂😂😂😂Nashindwa hata kusema aah NO khaa sipendi furaha ya liver
Mkuu nafurahi sana mapenzi unayoonesha kwa Man U japo naamini mpaka sasa huna ata 0% ya upendo juu yaoMapema sana niko United.
Huyo dogo ni mtu, akishakuepo hapo me huwa sina mashaka kabisaUyu zinchenko namuelewa sana
Mkuu nafurahi sana mapenzi unayoonesha kwa Man U japo naamini mpaka sasa huna ata 0% ya upendo juu yao
Hahah! Ndio nilikua nafurahi eti wewe unawashabikia wakati wenyewe hawajishabikii wanamshabikia mpinzani waoMapenzi na Man United yameisha baada ya goli la kwanza tu.
Nimeteseka sana leo, ndiyo maana wenyewe wanaikimbia timu yao.
Hahah! Ndio nilikua nafurahi eti wewe unawashabikia wakati wenyewe hawajishabikii wanamshabikia mpinzani wao
Walikua na wakati mgumu sana maana kivyovyote vile leo ilikua ni lazima wawe daraja la mmoja wetuYaani jamaa walituachia wageni tushangilie timu yao wao wakahamia upinzani.
Walikua na wakati mgumu sana maana kivyovyote vile leo ilikua ni lazima wawe daraja la mmoja wetu
Nikweli hapo labda upepo mchafu upite tu ila wewe bado unae Toto tundu WolvesSioni tena pa kuwekeza nguvu, Leicester na Burnley labda miujiza tu itokee.
Nikweli hapo labda upepo mchafu upite tu ila wewe bado unae Toto tundu Wolves
Brighton anaweza kukaza kama alivyokaza QPR ule msimu Aguero analeta ubishi dk mbaya ndoo inakuja EtihadWolves watakuwa Anfield, most likely ubingwa utakuwa umeshaamuliwa.
Maana ikitokea tunaenda final game kwa nyie kuwa mbele kwa hii point, Brighton mtamfunga tu, nahisi sitaangalia game siku hiyo. Itakuwa majonzi sana.
Brighton anaweza kukaza kama alivyokaza QPR ule msimu Aguero analeta ubishi dk mbaya ndoo inakuja Etihad
Yah humo humo mkuuNakumbuka ile 2011/2012 kitu kama.