The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Majirani kweli mlihitaji Top 4 kwa udi na uvumba ila hatuna namna kwetu huu ubingwa ni mhimu zaidi kuliko nyinyi kuwa top 4.asanteni kwa kushiriki tutawapa kadi ya mwaliko siku tunakabidhiwa huu ubingwa.[emoji120]
 
20190425_033448.jpg
Wapinzani wanasema mapenzi yao wameyahamishia kwa Burnley na Leicester city
 
Wolves watakuwa Anfield, most likely ubingwa utakuwa umeshaamuliwa.

Maana ikitokea tunaenda final game kwa nyie kuwa mbele kwa hii point, Brighton mtamfunga tu, nahisi sitaangalia game siku hiyo. Itakuwa majonzi sana.
Brighton anaweza kukaza kama alivyokaza QPR ule msimu Aguero analeta ubishi dk mbaya ndoo inakuja Etihad
 
Back
Top Bottom