The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Ipo vizuri,

Inaweka wazi maelezo/mbinu za Pep katika Mechi Man city hasa Halftime na kwa njisi gani pep anawasiliana na kuwaelekeza wachezaji nini chakufanya ndani ya dimba baada ya halftime.

Kuna gemu moja ya city na Leicester aliwaonyesha moja ya Udhaifu wa Beki Maguire kwamba Mwendo also wa Maguire sio mzuri hivyo watumie udhaifu na gemu hiyo city alishinda.
Aloo ni nzuri sema vipo vipande vingi sana jamaa anaiendesha timu vizuri.
Kuna moka anaingia ndan baada ya half time kelele kibao.
Anaingia anasema everyone site down.
No one talks. Alaf kimyaaaa.
Kiti ambacho ni tofauti sana kwa sosha na valvede.

Pep anasema i destroy football and you destroy epl.
 
Pep sasa Mawazo yote Msimu Ujao itakuwa Kubeba Champions league UEFA na hapa panamlima mrefu.

Ameweka historia kubwa sana vikombe vinne (4) ndani ya msimu mmoja Si haba...Congratulations!!!

Epl
EFL
FA
Community Shield.

Goli sita 6 Fainal.

Watford wamefanyiwa Ukatili wa kinjisia.

Toka Miaka zaidi 100 haijawahi tokea fainali Goli sita English football.

Wengine watasema Pesa inahamisha Mlima.." The Oil Club"


Congratulations The Citizen!!!!
Mm nashanhaa sana kila bosi wa timu kubwa ni bilionea.
Ila wanalalamika city kuwekeza.
Hakuna timu kubwa ambayo haikuwekeza kwa wakati wake.
Liverpool walitumia pesa nyingi sana mpaka kushinda epl. Chelsea,man u na wengineo
 
Really PEP ni genious .
Kama naziona timu za epl zikimchukia .
Media kula wakati wanamuuliza when will you left the epl?
Alafu anajibu i have three or more seasons haha
 
Mm nashanhaa sana kila bosi wa timu kubwa ni bilionea.
Ila wanalalamika city kuwekeza.
Hakuna timu kubwa ambayo haikuwekeza kwa wakati wake.
Liverpool walitumia pesa nyingi sana mpaka kushinda epl. Chelsea,man u na wengineo
Hao ni haters tu wanaotakiwa kupuuzwa.
 
Mm nashanhaa sana kila bosi wa timu kubwa ni bilionea.
Ila wanalalamika city kuwekeza.
Hakuna timu kubwa ambayo haikuwekeza kwa wakati wake.
Liverpool walitumia pesa nyingi sana mpaka kushinda epl. Chelsea,man u na wengineo
Liver ipi imeshinda epl?
 
Manchester city kumpa Guadiola mkataba mpya na ulioboreshwa wenye thamani ya £100m kwa miaka mitano.
Source: The sun.

Hope so!
 
Kuna habari naona inapitapita kwa mitandao kuwa Man City wanataka kumtoa Gabby Jesus kwa Atletico Madrid ili waweze kumpata Rodri..!
Aisee,hii ni biashara kichaa kabisa..!
Umri wa Aguero umekwenda,Gabby sio mchezaji wa kuuza kabisa..!
Kama wanahitaji huduma ya Rodri walipe hiyo release clause wampate..!
Pia nimesikia klabu inamgombea De Ligt,pia nimesikia inataka kumsajili Maguire...
Aisee, I hope hizo zote ni tetesi tu,coz siamini kuwa Man City ina uhitaji mkubwa sana wa beki wa kati...
Ndio,Kompany anaondoka,lakini Bado klabu ina wachezaji wazuri tu wa kuziba nafasi yake..!
 
Who will be our long term captain post captain kompany?
Eddie
Stones
Walker
KDB
Bernado
Sterling
Mendy
Kuna uwezekano mkubwa sana Bernardo Silva ndio akawa Captain ajaye wa Man City, lakini hiyo itatokea mara baada ya David Silva kuondoka..!
Kama David Silva ataendelea kuwepo mpaka msimu ujao,basi ndio atakuwa Captain wetu..!
 
Back
Top Bottom