kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
daa pamoja brother ila kuna mambo tu yananikosesha vipindi humu ♡♡Mzee wa matukio uwepo wako unakosekana sana humu.
Kumepwaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daa pamoja brother ila kuna mambo tu yananikosesha vipindi humu ♡♡Mzee wa matukio uwepo wako unakosekana sana humu.
Kumepwaya
Aloo ni nzuri sema vipo vipande vingi sana jamaa anaiendesha timu vizuri.Ipo vizuri,
Inaweka wazi maelezo/mbinu za Pep katika Mechi Man city hasa Halftime na kwa njisi gani pep anawasiliana na kuwaelekeza wachezaji nini chakufanya ndani ya dimba baada ya halftime.
Kuna gemu moja ya city na Leicester aliwaonyesha moja ya Udhaifu wa Beki Maguire kwamba Mwendo also wa Maguire sio mzuri hivyo watumie udhaifu na gemu hiyo city alishinda.
Mm nashanhaa sana kila bosi wa timu kubwa ni bilionea.Pep sasa Mawazo yote Msimu Ujao itakuwa Kubeba Champions league UEFA na hapa panamlima mrefu.
Ameweka historia kubwa sana vikombe vinne (4) ndani ya msimu mmoja Si haba...Congratulations!!!
Epl
EFL
FA
Community Shield.
Goli sita 6 Fainal.
Watford wamefanyiwa Ukatili wa kinjisia.
Toka Miaka zaidi 100 haijawahi tokea fainali Goli sita English football.
Wengine watasema Pesa inahamisha Mlima.." The Oil Club"
Congratulations The Citizen!!!!
Hao ni haters tu wanaotakiwa kupuuzwa.Mm nashanhaa sana kila bosi wa timu kubwa ni bilionea.
Ila wanalalamika city kuwekeza.
Hakuna timu kubwa ambayo haikuwekeza kwa wakati wake.
Liverpool walitumia pesa nyingi sana mpaka kushinda epl. Chelsea,man u na wengineo
Daah hii sikuionaa.Vincent company amesepa Anderlecht
Jibu simple tu, asingeweza kufanya aliyofanya KompanyHivi kwanini Stones alikuwa hapati namba hivi karibuni..?
Jamaa ndio beki ya kati ninayemkubali ndani ya Man City..!
Liver ipi imeshinda epl?Mm nashanhaa sana kila bosi wa timu kubwa ni bilionea.
Ila wanalalamika city kuwekeza.
Hakuna timu kubwa ambayo haikuwekeza kwa wakati wake.
Liverpool walitumia pesa nyingi sana mpaka kushinda epl. Chelsea,man u na wengineo
Namaanisha ligi.Liver ipi imeshinda epl?
Yeah na watu kama pep watatoka kwa pepDunia inahitaji watu kama pep
Hahaha liver wanasema huyu jamaa amewafanyia kitu mbayaYeah na watu kama pep watatoka kwa pep
Ubaya l'pool atawanapokuwa wazuri vipi.Hahaha liver wanasema huyu jamaa amewafanyia kitu mbaya
Liver wakaida ila wana vijana walio na nguvu ila hawana uzoefu wa makombeUbaya l'pool atawanapokuwa wazuri vipi.
Kuna kuwa na timu nzuri kuwazidi io ndo changamoto yao.
Kuna uwezekano mkubwa sana Bernardo Silva ndio akawa Captain ajaye wa Man City, lakini hiyo itatokea mara baada ya David Silva kuondoka..!Who will be our long term captain post captain kompany?
Eddie
Stones
Walker
KDB
Bernado
Sterling
Mendy