The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Manchester city. Ndio timu bora kwa sasa ulaya io yoyote anajua.
Kwanza ndio timu pekee iliyochukua point 4 kwa liverpool wakat liverpool ilichukua point moja tu.
Liverpool ni bingwa wa knock-outs, ukisema hvyo tuposambamba.
Maana ata wigan alichukua FA ila haimaanishi ndio timu bora England.
Kwa sababu FA nayo inabeba timu aina zote England
Wewe jamaa 😀😀😀hujajibu chochote kati ya nilivyokuuliza
Hakuna alieisema man city hadi wewe useme eti hata ikichukua chochote itasemwa tu ila mimi nilikua naongelea wewe kusema mshindi wa uefa sio champions wa europe na hujajibu chochote kuhusu vitu nilivyoongelea
Nachosema ni kua hisia zako usizilete kwenye facts zilizopo mawazo yako hayapingwi lakinihayabadilishi facts.
 
Wewe jamaa [emoji3][emoji3][emoji3]hujajibu chochote kati ya nilivyokuuliza
Hakuna alieisema man city hadi wewe useme eti hata ikichukua chochote itasemwa tu ila mimi nilikua naongelea wewe kusema mshindi wa uefa sio champions wa europe na hujajibu chochote kuhusu vitu nilivyoongelea
Nachosema ni kua hisia zako usizilete kwenye facts zilizopo mawazo yako hayapingwi lakinihayabadilishi facts.
Nimekwambia wigan alipochukua FA je ilimaanisha ni bingwa wa ENGLAND??
UNATAKA JIBU LIPI TENA?
 
FB_IMG_15632506813668206.jpeg
 
Manchester city. Ndio timu bora kwa sasa ulaya io yoyote anajua.
Kwanza ndio timu pekee iliyochukua point 4 kwa liverpool wakat liverpool ilichukua point moja tu.
Liverpool ni bingwa wa knock-outs, ukisema hvyo tuposambamba.
Maana ata wigan alichukua FA ila haimaanishi ndio timu bora England.
Kwa sababu FA nayo inabeba timu aina zote England
Hapo ndio mnakosea maana hamna makombe ya mabara ambayo sio ya knockout

Kwenye ligi za nchi hakuna fainali wakati UEFA kuna fainali

Sasa mlitaka na UEFA iwe kama mifumo ya ligi ili kwa mwaka ziwe zinachezwa mechi za Club kwa Club ziwe zaidi ya Sabini na hapo wachezaji hawajacheza mechi za mataifa yao
 
Nimekwambia wigan alipochukua FA je ilimaanisha ni bingwa wa ENGLAND??
UNATAKA JIBU LIPI TENA?
Kwanza,kombe kama FA na mengine ni makombe ambayo mara nyingi timu kubwa haziyajali sana na ndio maana hata vikosi mara nyingi havipangwi vikali lakini first 11 za tim mdogo hua zinaanza na pia kutokana na kwamba chance zao kushinda ligi na makombe kama UEFA ni ndogo sana hua hawana cha kupoteza.

Mfano..kukiwa na game ya FA pabda jmos alaf ligi jtano tim kubwa itapanga wachezaji wasiopataga namba sana ili wale wa first 11 wacheze jtano ligi?umeona umuhimu wa FA sasa?na hio pia ni kwasababu ya umuhimu wake na pia sio fact kua ukishi da FA ni champion wa England.

Lakini imagine kukiwa na ligi jpili na UEfA jnne kikosi kikali zaidi kitacheza wapi kama sio UEFA?kwa hio ni umuhimu tu..unaposema Liverpool ni bingwa wa knock outs tu...nakubali lakini kwani hachezagi fA?au hio sio KO?hachezagi carling???anacheza lakin big teams value most big trophies ikitokea kashinda mengine ni ziada tu au labda kama ameona hawez tena kushinda makubwa...kama ingekua inajulikana FA ni bingwa wa england hao kina wigan kwa miaka hii wangeisikilizia kwenye bomba tu lakini kwakua SIO HIVYO ndio maana hata wao unaona wanajitahidi.

Labda nikuulize tu,kati ya ligi na UEFA timu zinavalue kipi zaidi?hata kwa kuangalia tu mechi zipi zitapewa thamani ya kuweka wachezaji wakubwa ikiwa mechi zinafuatana sana.
 
Guardiola anavalue ligi kuliko uefa [emoji3] .
Ila msimu huu ataijali kdg uefa.
Kwa sababu uefa mara nyingi ni kombe linaloshindwa na timu ambayo sio ata champion kwenye ligi yake.

Unajua uefa wanataka iwe kwa mfumo wa ligj ili mshindi anaepatikana awe kweli amepambana na Timu zote na akaibuka na point nyingi.

Uefa wameweka kipaumbele kwenye pendekezo ilo. Kwa sababu ni aibu kusema timu ni bingwa wa ulaya wakati hakuweza hata kuwa bingwa kwenye ligi yake.
Kingine maana ya neno champions league ni kombe la mabingwa,(bingwa wa nini?) LIGI.
Sasa nikuulize liverpool ameshiriki uefa kama champion wa kombe lipi?
Kweli Sitaki uefa iwe ligi,ila uefa haimaanishi kuwa bingwa wa ulaya moja kwa moja. Na unajua mara ya mwisho timu kushinda ligi na uefa ni lini?
Liverpool kutokuweka first 11 FA ni sawa na city kutokuweka first 11 vs spurs.
Uefa have too much criticises on that knock out styles. Kwa sababu bingwa ni bingwa wa njia aliyopita.
 
But liverpool deserved it.
Sina kinyongo chochote.
Klopp anaakili nyingi uefa
 
Dogo wenu Lucas Nmecha aache tu mpira kwa kweli

Ni bonge la garasa

Kule England League one sijui kama sio Champion Ship katika mechi 41 kafunga goli nne halafu mchezaji namba tisa huyo
Screenshot_20190717-114603.jpeg
 
Dogo wenu Lucas Nmecha aache tu mpira kwa kweli

Ni bonge la garasa

Kule England League one sijui kama sio Champion Ship katika mechi 41 kafunga goli nne halafu mchezaji namba tisa huyoView attachment 1155603
Kweli nmecha msimu uliopita amezingua sana.
Ila kwenye statistics ukicheki hata ya harry kane misimu yake miwili ya mwanzo championship alifunga goli 9 tu kwa mechi 35+ .
Ngoja tumuone msimu huu.
Ila preston wanamain striker wao, Nmecha amecheza sana baada ya jamaa kupata majeruhi.
Nazani msimu huu anaweza kwenda kwa mkopo kwaio German.

Ila kwa mwili wake angejaribu kuwa defender
 
Mechi 10 kwa goli moja la center forward ni kinyaa
 
Back
Top Bottom