The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Zinchenko alitaka kutuletea majanga hako ka penalt kake.
Allison analindwa sana na beki lets see this season.
Naina baada ya kupoteza kwa penalty na wolve waliingia darasa la penalty.
Wembley mkubwa mwingine anakufa kwa penalty baada ta chelsea.

Pep na harakati zake za kuteka epl
 
First game and first trophy
3227.jpeg
 
Otamendi anaishia tu sema.
Laa sivyo angeendelea kuwa cd bora epl.
Stones anapoteza sifa yake ya kuwa beki mgumu sijui kwa nn
Kipaji kimeishia pale

Laporte ndio CB pale City cha ajabu nashangaa anakosaje namba National team ya France wakati ni mzungu natural kabisa wa Kifaransa
 
Hata city wangetulia hame walikuwa wanaimaliza kipind cha kwanza.
Nope

Physicality inawaangusha mbele ya Club yeyote ile sababu timu yenu nzima wafupi halafu mna miili midogo kama hamlagi vile

Trust me Man Utd watawapa tabu msimu huu
 
Janaa liverpool walikuwa wanakula gori 3 kabisa, tatizo ni huyu kiazi sterling sijui ana nin, nafasi za wazi na kipa, anashindwa kufunga kabisa,


Kaniboa baraa huyu mtu daaa
[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
 
Back
Top Bottom