George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Defence ya Man City bila Laporte ni zaidi ya majanga..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa fullbacks Zinchenko ndio kaperform vizuri zaidiGood performance from Rodri and Walker...
Hakika pesa yetu imetumika vizuri kwa Rodri..!
Stones sio mzuri sana ingawa kwa Waingereza anajitahidi. Otamendi kajituma sana leoDefence ya Man City bila Laporte ni zaidi ya majanga..!
Sterling amekuwa hovyo sana mechi izi mbili za mwisho nafasi mbili za wazi kakoza yy na kipaGame haikuwa ya kufika penalties kbs kwa Liverpool.
Wembley is a new ETIHAD trust meSpirit ya kubeba makombe ndo imetusaidia kwa kuwa makombe yashazoea kushikwa na the City boy kwingine hayataki ingawa performance ya leo si nzuri.
Aloo ww acha tu.Defence ya Man City bila Laporte ni zaidi ya majanga..!
Otamendi anaishia tu sema.Stones sio mzuri sana ingawa kwa Waingereza anajitahidi. Otamendi kajituma sana leo
Allison analindwa sana na beki lets see this season.Zinchenko alitaka kutuletea majanga hako ka penalt kake.
Ukiona beki kupigwa chenga ni BREAKING NEWS lazima ujiulize mara mbilimbili.Kwa vvd league inaanza hv
View attachment 1172530
Hata city wangetulia hame walikuwa wanaimaliza kipind cha kwanza.Kipindi cha pili mlichoka mbwa. Kiasi tu cha Liverpool kutulia, msingekuwa mna cha kuongea hapa.
Mwaka jana walimsifu sana.Ukiona beki kupigwa chenga ni BREAKING NEWS lazima ujiulize mara mbilimbili.
Kipaji kimeishia paleOtamendi anaishia tu sema.
Laa sivyo angeendelea kuwa cd bora epl.
Stones anapoteza sifa yake ya kuwa beki mgumu sijui kwa nn
Hata Messi anapigwa chenga vizuri tu, hata mimi na wewe . Chenga ni kuzidiwa akili wakati husika sababu mwenye mpira in the first place ana edge zaidi yakoKwa vvd league inaanza hv
View attachment 1172530
NopeHata city wangetulia hame walikuwa wanaimaliza kipind cha kwanza.