The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Ili uchukue kikombe cha ligi kuu (EPL) ni lazima wavchezaji wawe na pumzi za kutosha. City walianza na wakaendelea vizuri sana ila pumzi zimewaishia sasa.

Kunauwezekano mkubwa Man U kutangaza ubingwa katika mechi 2 zijazo endapo City watafungwa na West Brom na Norwich.

Naipenda Man kwa pumzi na umakini.
 
shukuru marefa lakini pumzi hakuna kitu hapo..
 
tehe tehe tehe tehe eti nanyie mnatafuta kombe?????kawapeni chakula wale buibui kwenye makabati yenu ya kuhifadhia makombe.
 
Ili uchukue kikombe cha ligi kuu (EPL) ni lazima wavchezaji wawe na pumzi za kutosha. City walianza na wakaendelea vizuri sana ila pumzi zimewaishia sasa.

Kunauwezekano mkubwa Man U kutangaza ubingwa katika mechi 2 zijazo endapo City watafungwa na West Brom na Norwich.

Naipenda Man kwa pumzi na umakini.

mwana ningekutwanga like,natumia simu tu.
 
city till end of the season najua season ijayo kombe letu..

Viva La City..

Haya maneno kama nimeshawahi kuyaona na kuyasikia sehemu!! hah! hah! nimekumbuka mashabiki wa Man City walisema maneno haya mwanzo mwa msimu waliposhinda 9 games in a row!!! ama kweli kutangilia si kufika.
 
Ili uchukue kikombe cha ligi kuu (EPL) ni lazima wavchezaji wawe na pumzi za kutosha. City walianza na wakaendelea vizuri sana ila pumzi zimewaishia sasa.

Kunauwezekano mkubwa Man U kutangaza ubingwa katika mechi 2 zijazo endapo City watafungwa na West Brom na Norwich.

Naipenda Man kwa pumzi na umakini.

Itakuwa vizuri Man U wakilichukua kombe ndani ya El Ithad.
 
article-0-12844415000005DC-913_306x423.jpg
article-0-1284659E000005DC-126_306x423.jpg

What a mess?

article-2126911-12847B4A000005DC-143_306x423.jpg

article-2126911-12847B1A000005DC-406_306x423.jpg

Szczesny anawasanifu
khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee
 
acha tu mtoto umleavyo ndivyo akuavyo itabidi abaki city ili acheze kwenye carling ukimpeleka jangwani itabidi waanzishe timu ya bondia..

Hahaha! Umeona mkuu ehh? Ila put all ur blame of mancini, he is the master of his own team destruction, m muda flan huwa nahis language is a barrier, ile sio team mgt!
 
city-owners_1486544a.jpg

SOUR FACES ... Sheikh Mansour can't believe City's plight

Gloomy faces ..... .... Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee

... ... Now where for City? Under Sheikh Mansour £800million has been lavished on the club, £450m on players of which Mancini himself has spent £240m.
Last year, they announced a record loss of £197m.

article-2126911-12847830000005DC-596_634x286.jpg

article-2126805-128495F6000005DC-684_634x452.jpg

Jumping for joy: Arsenal fans do the Poznan celebration

''The Emirates erupted - with Gooners doing the ‘Poznan' -
a crowd celebration favoured by their City rivals.''
 
Back
Top Bottom