Nemesis
JF-Expert Member
- Feb 13, 2008
- 5,517
- 4,477
Ili uchukue kikombe cha ligi kuu (EPL) ni lazima wavchezaji wawe na pumzi za kutosha. City walianza na wakaendelea vizuri sana ila pumzi zimewaishia sasa.
Kunauwezekano mkubwa Man U kutangaza ubingwa katika mechi 2 zijazo endapo City watafungwa na West Brom na Norwich.
Naipenda Man kwa pumzi na umakini.
Kunauwezekano mkubwa Man U kutangaza ubingwa katika mechi 2 zijazo endapo City watafungwa na West Brom na Norwich.
Naipenda Man kwa pumzi na umakini.