Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.Mhakikishe mmejiandaa vyema
Maswala ya visingizio sijui tuliweka kikosi B hapana View attachment 1774780
Ngapi ukooooooo mbuzi nyieeIla nakumbuka alimiss siku akafunga hat trick na hawa hawa mbwa
Aibu sana kama legent wa club
Au siyoLeo tunaenda kui expose hii formation ya Tuchel ya beki tatu.
Ili timu ndogo ndogo zianze kuikamia.
Tunacheza same formation almost
mhu na leo amewafunga ngap hao mbwa?Ila nakumbuka alimiss siku akafunga hat trick na hawa hawa mbwa
Upo sawa kabisa tena nguruwe pori eti kuna mtu katabir atakae fungwa leo ujue kaukosa ushindi nikasema sawa muda utaongeaArsenal nimewapa jina la KONDOO
Manchester united jina la NYUMBU
kuanzia leo nyie NGURUWE
underdog nani kwa sasa kati ya Chelsea na Man shitGame kama hii ,analeta ujinga pumbavu sana ...
Namheshimu sana aguero ila kwa huu ujinga ,siwezi kabisa ..
We have to win this game ,game haijaisha bado analeta utoto shiit
Nyiee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo chelsea fans wanaona ndio washamaliza kazi na kujipa hope They will win against Man City [emoji2].. ..kumfunga madrid ndio mjipe hope kiasi hicho! Mimi si madrid fan, lakini mtakachokutananacho mtasimulia.. ..
[emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji91][emoji91]
Jamani jamaniUbora wa timu, na wachezaji pia
[emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji91][emoji91]