Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
BREAKING: Kevin De Bruyne Is The 2021 PFA Player Of The Year!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua uingereza wanajua kuvimbisha vichwa wachezaji wao ....
Huyo bruno kafanya nini hasa ..
tatizo mashabiki wa chelsea wabishi hamuwezi kukubali mmehamia baada ya roman kuchukua timuNani amekuambia hivyo wewe!? Kabla waarabu hawajachukua hii timu kuna kombe lolote mlikuwa nalo?? Sisi Chelsea kabla ya Roman kutua tayari tulishakuwa mabingwa ligi kadhaa za nyuma uko miaka ya tisini. Nyie mambwagila mmezamia kufika vilabu vyenu vibovu vibovu uko kama arse8 na liverkuku bado mnaleta ubishi wa kujiita timu kubwa.
Mashabiki wa chelsea ni manyang'ao tu ,unakuta wanajadili utopolo hatarii ....tatizo mashabiki wa chelsea wabishi hamuwezi kukubali mmehamia baada ya roman kuchukua timu
Si kwelitatizo mashabiki wa chelsea wabishi hamuwezi kukubali mmehamia baada ya roman kuchukua timu
Pep Guardiola [emoji238]is named Premier League Manager of the Season for 2020/21, his third time winning [emoji1628]the award [emoji122]
Huyo TT atasubili sana ...View attachment 1809105
Huyo najua mmeongeza mkataba wake ,but hatowezi fikia hii hatua nawambie ...Next TT [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Jamaa kavurugwa huyo[emoji23][emoji23]Aisee kweli kukosa UEFA kumewafanya mchanganyikiwe kiakili nyie shity fans sio kwa pumba hizi mnazoongea
Dah,n swala la muda [emoji16][emoji16]Shityee Boys hamjambo[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1813244
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]