The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

BREAKING: Kevin De Bruyne Is The 2021 PFA Player Of The Year!
_man.city_army_-20210606-0001.jpg
 
Nani amekuambia hivyo wewe!? Kabla waarabu hawajachukua hii timu kuna kombe lolote mlikuwa nalo?? Sisi Chelsea kabla ya Roman kutua tayari tulishakuwa mabingwa ligi kadhaa za nyuma uko miaka ya tisini. Nyie mambwagila mmezamia kufika vilabu vyenu vibovu vibovu uko kama arse8 na liverkuku bado mnaleta ubishi wa kujiita timu kubwa.
tatizo mashabiki wa chelsea wabishi hamuwezi kukubali mmehamia baada ya roman kuchukua timu
 
tatizo mashabiki wa chelsea wabishi hamuwezi kukubali mmehamia baada ya roman kuchukua timu
Mashabiki wa chelsea ni manyang'ao tu ,unakuta wanajadili utopolo hatarii ....


Mara ooh haaland ,sijui nani ...

Wanatapatapa tu
 
[emoji599]Jack Grealish to Manchester City is the “done deal” after the Euros!
#MCFC #AVFC #Grealish #ThreeLions

[@MrTomMcDermott]
 
Back
Top Bottom