Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa taarifa yako Man city hawakupenda kabisa kukutana na Chelseafc fainali kwasababu walikuwa wanajua wazi kuwa wasingeweza kutoboa,ndo maana Pep Gadiola alibabaika sana ktk upangaji wa kikosi chake.Pep analaumu kuwa mashabiki wa city hawataki kuja uwanjan ,amesahau kuwa amepoteza final kizembe kabisa mbele ya vibonde Chelsea ......!!!
ile final ya CL ilikuwa inaenda kubadilisha atmosphere ya Etihad
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hakuwapenda kivip ,..Kwa taarifa yako Man city hawakupenda kabisa kukutana na Chelseafc fainali kwasababu walikuwa wanajua wazi kuwa wasingeweza kutoboa,ndo maana Pep Gadiola alibabaika sana ktk upangaji wa kikosi chake.
Tuliza makalio ,tutakuona keshoKuna kenge mmoja huwa anajua kuropoka ropoka tu, utadhani mpira ni kuropoka ropoka tu.
This is our team ,and our city[emoji38]Man shit is always a shit, mavi lazima yawe mavi tuu hayawezi kuwa cake.
Tulia kijana , football it's up and downNyie matahira hamtumi hata vikosi humu ndani
25 September
Chelsea VS Manchester City
28 September
PSG VS Manchester City
3 October
Liverpool VS Manchester City
[emoji91]
Hii fixture [emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu hilo tatizo limetukosesha CL mbele ya wale vibonde wa darajan ,siiamin kabisa Kama Chelsea wangeweza kutufunga mara tatu mfukulizo ....kinachomponza pep juaji mwingi atulii na kikosi kimoja cha ushindi hanaga first 11,,,
na hii ya kucheza bila pure number9 itamtokea puani
Liverpool tunaenda kuipiga goli nyingi[emoji38][emoji38][emoji38]pep hajawahi kuiogopa liverpoolHapa mtadroo na Cheltako, mtawafunga PSG na mtakula kichapo kitakatifu Anfield
Kati ya Chelsea na Man city Nani kibonde kwa mwenzake? Mbona ligi mlipigwa na chelseafc na Aguero akiwa ndaniMkuu hilo tatizo limetukosesha CL mbele ya wale vibonde wa darajan ,siiamin kabisa Kama Chelsea wangeweza kutufunga mara tatu mfukulizo ....
Pep overthinking problem
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Liverpool tunaenda kuipiga goli nyingi[emoji38][emoji38][emoji38]pep hajawahi kuiogopa liverpool
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app