The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Pep analaumu kuwa mashabiki wa city hawataki kuja uwanjan ,amesahau kuwa amepoteza final kizembe kabisa mbele ya vibonde Chelsea ......!!!

ile final ya CL ilikuwa inaenda kubadilisha atmosphere ya Etihad

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwa taarifa yako Man city hawakupenda kabisa kukutana na Chelseafc fainali kwasababu walikuwa wanajua wazi kuwa wasingeweza kutoboa,ndo maana Pep Gadiola alibabaika sana ktk upangaji wa kikosi chake.
 
Sterling angemwachia foden hapa ,tungekuwa tunaongea mengine ...

But all in all ,wacha tusubili next game
mancity_mcfc-20210918-0002.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa taarifa yako Man city hawakupenda kabisa kukutana na Chelseafc fainali kwasababu walikuwa wanajua wazi kuwa wasingeweza kutoboa,ndo maana Pep Gadiola alibabaika sana ktk upangaji wa kikosi chake.
Hakuwapenda kivip ,..

Overthinking ya pep ndio ilifanya tupoteze game

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
25 September
Chelsea VS Manchester City

28 September
PSG VS Manchester City

3 October
Liverpool VS Manchester City

[emoji91]

Hii fixture [emoji3526][emoji3526][emoji3526]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
kinachomponza pep juaji mwingi atulii na kikosi kimoja cha ushindi hanaga first 11,,,
na hii ya kucheza bila pure number9 itamtokea puani
 
Mkuu hilo tatizo limetukosesha CL mbele ya wale vibonde wa darajan ,siiamin kabisa Kama Chelsea wangeweza kutufunga mara tatu mfukulizo ....

Pep overthinking problem

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hilo tatizo limetukosesha CL mbele ya wale vibonde wa darajan ,siiamin kabisa Kama Chelsea wangeweza kutufunga mara tatu mfukulizo ....

Pep overthinking problem

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kati ya Chelsea na Man city Nani kibonde kwa mwenzake? Mbona ligi mlipigwa na chelseafc na Aguero akiwa ndani
 
Tangu Pep aje EPL Anfield ameshinda Mara moja tu tena msimu uliopita tena alikutana na Liverpool B yenye injuries na uwanja usio na mashabiki. Anfield anapaogopa kuliko uwanja mwingine wowote duniani
Liverpool tunaenda kuipiga goli nyingi[emoji38][emoji38][emoji38]pep hajawahi kuiogopa liverpool

Back
Top Bottom