The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mbuzi wewe... unataja vipabu vyenzako kwamba wanazo kadhaa mbona huna hata moja?
Hata timu la kifala Nottingham forest ambalo mpaka Sasa halipo hata epl limeshachukua CL mara 2 ,harafu unasema CL ni kombe la kulilia ,acha ufala wewe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mbuzi wewe... unataja vipabu vyenzako kwamba wanazo kadhaa mbona huna hata moja?
Mzee Hilo CL unalosema ni kombe la mbuzi ambalo Kuna timu kibao zimeshachukua ,Sasa unavokuja kulinganisha na hadhi ya timu Kama city unaonekana kilaza ,Nottingham forest kashachukua mara 2 hio CL ,unajua iko wapi hio timu ....!Mimi huwezi nitisha na CL hata kidogo ,...!
 
Hata timu la kifala Nottingham forest ambalo mpaka Sasa halipo hata epl limeshachukua CL mara 2 ,harafu unasema CL ni kombe la kulilia ,acha ufala wewe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
We shoga kweli.... huwezi kuelewa utamu wa UCL
 
Mzee Hilo CL unalosema ni kombe la mbuzi ambalo Kuna timu kibao zimeshachukua ,Sasa unavokuja kulinganisha na hadhi ya timu Kama city unaonekana kilaza ,Nottingham forest kashachukua mara 2 hio CL ,unajua iko wapi hio timu ....!Mimi huwezi nitisha na CL hata kidogo ,...!
Mbona we hujachukua ikiwa ni la mbuzi... Acha kuexpose ung'ombe wako
 
Na wewe ni sawa na Norwich City coz hata yeye hana uefa.
Yaaah kama kweli Mimi ni sawa na Norwich city it's okay na Niko league kuu ,wewe mbwa Nottingham forest haupo hata epl ,Sasa unafaida gan kwenye ulimwengu wa mpira ....Norwich city iko mbali sana ,huwezi linganisha na hio takataka Nottingham forest hata kama ina CL [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Yaani wewe Norwich Sunderland, Bolton Wandarers mko level ya peke yenyu.

Yaani pale epl Liver, man u, chelsea, na aston villa ndio tunaweza tukaa mezani tukapiga siyo hii takataka ya man city itaongea nini na haijui utamu wa uefa?
 
Kasome ubao pale juu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kubishana na shabiki la Chelsea ni matumizi mabaya ya akili ...
 
Kasome ubao pale juu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kubishana na shabiki la Chelsea ni matumizi mabaya ya akili ...
Kubishana na shabiki wa Man city ni sawa na kubishana na shabiki wa Sunderland.
 
things are getting very tense on #FERRAN.... Naona pia bwana FAB. ROMANO KAPOST NAYEYE

9c029184-55df-43a1-933b-5eace22846ca.jpg
 
Kama tukiwafunga lisbon na buyern akamfunga sulzburg ......

Basi sis man city tunaenda kukutana na buyern Munich live bila kupepesa macho ...[emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]
Mzee hao watapigika vizuri tu...bayern historia haidanganyi anapataga shida kwa city ata akishinda hapati zile 5 kama kwa arsenal au 8 za barca na tulishawai kumpiga palepale kwake tukiwa na pellegrino.

c4a93ace-901e-4b4b-9c1a-e97b5701c233.jpg
 
Kasome ubao pale juu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kubishana na shabiki la Chelsea ni matumizi mabaya ya akili ...
acha kubishama na vivulana vya darajani...wee mtu ana hizo UEFA 2 kama anazo 20 vile na pia yupo nyuma ya city kwa total trophies na hapo bado city haina UEFA, Kikubwa PEP AWE FOCUSED TU Time will tell achana nae huyo.

5fb2157a-3c10-4675-96a5-d91b81047794.jpg
 
Mwaka 2011 nilikuwa form one ...kiufupi ndio nilikuwa na akili ya kuaanza kufuatilia mpira ,wakati Niko primary sikuwahi kufuatilia mpira zaidi ilikuwa movie tu ,tena za kihind ,enzi hizo koyla ,Krish ,Karan na arjun ,yaan ulikuwa huwezi nambia kitu cha burudani zaidi ya movie ........,Sasa baada ya kuaangalia hio game nilikuwa na mshikaji wangu anaitwa peter ,alikuwa anamkubali Sana ballotel kisa alikuwa mhuni na mkorofi kama yeye ,na alikuwa nigga kipindi hicho ,mpaka saizi peter anamalizia MD pale bugando na nishabikie wa city hatari kila siku status anatupia magoli ,highlight na habari zote za city ,na Mimi nilianza kumpenda ballotel ,teves ,aguero ,mpaka tukiwa tunacheza mpira form one ulikuwa huwezi nambia kitu kwa aguero .....!

Harafu kuna rafiki yangu alikuwa anawapenda psquare ,anadance kawa wao,alikuwa anajiita Scott ,aisee huyu ndio alinipa unyama zaidi kuhusu man city ,na alizidi kunifanya kuifuatilia city kuliko timu yeyote ,sijajua mpaka saizi Yuko wapi Scott [emoji28][emoji28][emoji28]...

Aisee Mimi nimeanza kushabikia mpira city ndio anadomanite league ,na nilizungukwa na jamaa zangu wanaoipenda city ,...Sasa ilikuwa ngumu Sana kuaanza kuipenda sijui united ,Liverpool sijui arsenal ....

Over
You are young
 
Back
Top Bottom