Mondela
JF-Expert Member
- Aug 20, 2021
- 2,567
- 3,777
Vipi saa 22:00 haijafika?Uwepo wa cancelo na walker ....
Yaani Sina wasi wasi na hii game kabisa ,kilichobaki ni psychology ya wachezaji na moods ....Madrid anaenda kufa mapema
Tukutane saa 22:00
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi saa 22:00 haijafika?Uwepo wa cancelo na walker ....
Yaani Sina wasi wasi na hii game kabisa ,kilichobaki ni psychology ya wachezaji na moods ....Madrid anaenda kufa mapema
Tukutane saa 22:00
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daaaaah acha tyuuh.
Njoo Liverpool Fc bana achana na hiki kikundi cha upatuDada bhana hii game kipara katutoa kusudi.
Nwei hatuna bahati na UEFA. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Jamaa alikwambia ukambishia [emoji1787][emoji1787]Mahesabu ya Nini mzee hapa umeshindwa kusema ...
Madrid anatolewa uefa ,upo hapa unapiga hesabu za kimamuruki mbaya zaidi hesabu ulifeli [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Yaan hii city ndo nn sasa khaaah, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mmempiga?Tunampiga pale pale bernabeu mbele ya ndugu zake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Huyo hamnaga kitu. Kubinua tu kiuno.
SawaMsimu huu EPL na UCL tunabeba, mtake msitake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msimu huu EPL na UCL tunabeba, mtake msitake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya nendeni final mkatwae la 7, sisi tumewachia wenyewe mpambane nalo.Ndio muone kuwa tim yenu ni ndogo sana, Pain killer njoo mpeane faraja basi.
Ndio umejua leo endelea kukaza fuvu na ligi huchukui.Mpaka hapa pep kashafeli ,uefa haiwezi kabisa
Ntakufa na man City hata ishuke daraja, bado nipo sana.Njoo Liverpool Fc bana achana na hiki kikundi cha upatu
Em niache kwan nawee bas, khaaaah.Mmempiga?
Nyie macarabao na EPL ndo uwezo ulipoishia. Huku Europe cups bado sana.Ntakufa na man City hata ishuke daraja, bado nipo sana.
Nyie hiyo game si bado? Mnaweza kufika final na mkapigwa hapo na huku EPL msichukue kombe.Sawa