Narekeremo
JF-Expert Member
- May 20, 2021
- 714
- 755
Nani alikwambia?Uzi una shabiki wawili tu[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani alikwambia?Uzi una shabiki wawili tu[emoji23]
Wakati league unataka kutamatamatika Leeds walikuwa hoi kwani moja kati ya wachezaji wao kalvin Phillips alikuwa ana injury lakin haimanishi ni mzee wa kitandani [emoji14]Huyu Kalvin Philips si injury prone huyu?
For realFour player , £108millionView attachment 2281076
[emoji16][emoji16]Dah pain killer anatiaga huruma tu huku yani mpaka apite kwenye uzi wa man united ajichekeshe.[emoji16][emoji16]Uzi wa mtu mmoja anayeuliza swali na kujijibu hapo hapo [emoji16]
Mpaka ajichekeshe kama dada muuzaji.[emoji16][emoji16]Dah pain killer anatiaga huruma tu huku yani mpaka apite kwenye uzi wa man united ajichekeshe.[emoji16][emoji16]
Mnahangaika wee ila mwisho wa siku mnajipitisha humu kwa mabingwa kujua taarifa zetu ...[emoji16][emoji16]Dah pain killer anatiaga huruma tu huku yani mpaka apite kwenye uzi wa man united ajichekeshe.[emoji16][emoji16]
Maswala ya kupita humu kwa mabingwa wa epl umepanua utakuja kupanuliwa ...!Mpaka ajichekeshe kama dada muuzaji.