The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

.
mancity-20220821-0003.jpg
 
Massive comeback asee.
Daaa tatizo foden na kdb kuna muda walikuwa wanalazimisha mashoot kwenye angle ngumu badala ya kumpasia haaaland yupo kwenye position ....

Pep hataki kufanya sub ,sijui wachezaji wengine hawaamini daaa .....

Any way ,...

Next crystal palace etihad...[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]hapa moto wa ZAHA nauwaza sanaaa ....!!
 
Kitu ambacho hamjua Newcastle kashanunuliwa na waarabu ,kashafanya usajili mkubwa na soon anakuja kuchallange top four ,kuanzia mwaka jana Mimi nilikuwa namuona hatari ...
 
Kwanza hao Newcastle wanabahati sana ,zingeongezwa dakika 10 tulikuwa tunampiga ...,!!!
 
yule fala aliyekuwa anamhemesha walker,
Ndio huyo huyo saint Maxima ,anarasta flani ....

Baada ya waarabu kuinunua Newcastle nadhani yeye ndio alipewa kipaombele Cha kubaki ,wengine nilikuwa naona wanauzwa ,...

Newcastle wanakuja vzuri,wameshapata wawekazaji wanaomwaga mpunga ,miaka miwili ijayo anaweza kuwa title contenders kabisa ...
 
wanatisha sana hao jamaa, yaani walker kakaba lakini wapi li mjemba lina mpira tu utazani limeahidiwa mke
 
Oh" Halaaand ni wetu".
Haya sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji91]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mkuu haaaland hajawahi kuonesha uvivu pale mbele ,foden ndio alikuwa anashindwa kuelewa kuwa pale kati ipo scoring machine sio sterling so ilitakuwa awe anapiga mipira .....!
 
Huwa najiuliza kwanini foden hataki kutambua uwepo wa haaland? Dogo ni fala sana
 
Huwa najiuliza kwanini foden hataki kutambua uwepo wa haaland? Dogo ni fala sana
Watu wanamtukana huko kwenye page yake[emoji23][emoji23][emoji23]matusi yote wamemwangushia ...jana kafanya ujinga mwingi sana na pep hajamtoa daaa....!
 
Back
Top Bottom