Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona Chelsea walivotunguliwa Kama wamesimama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii league achana nayo kabisa ....mna bahati sana nitaendeleea kuepnda Epl siku zote ligi kama ligi ya kibabe
Daaa tatizo foden na kdb kuna muda walikuwa wanalazimisha mashoot kwenye angle ngumu badala ya kumpasia haaaland yupo kwenye position ....Massive comeback asee.
Nan saint Maxima....auyule mwamba wa newcastle tukimsajili atafanya mabo makubwa mbwa yule
yule fala aliyekuwa anamhemesha walker,Nan saint Maxima....au
Ndio huyo huyo saint Maxima ,anarasta flani ....yule fala aliyekuwa anamhemesha walker,
wanatisha sana hao jamaa, yaani walker kakaba lakini wapi li mjemba lina mpira tu utazani limeahidiwa mkeNdio huyo huyo saint Maxima ,anarasta flani ....
Baada ya waarabu kuinunua Newcastle nadhani yeye ndio alipewa kipaombele Cha kubaki ,wengine nilikuwa naona wanauzwa ,...
Newcastle wanakuja vzuri,wameshapata wawekazaji wanaomwaga mpunga ,miaka miwili ijayo anaweza kuwa title contenders kabisa ...
Mkuu haaaland hajawahi kuonesha uvivu pale mbele ,foden ndio alikuwa anashindwa kuelewa kuwa pale kati ipo scoring machine sio sterling so ilitakuwa awe anapiga mipira .....!Oh" Halaaand ni wetu".
Haya sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji91]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ushindwe kumpiga dakika 90 ndio uje kumpiga dakika 10Kwanza hao Newcastle wanabahati sana ,zingeongezwa dakika 10 tulikuwa tunampiga ...,!!!
Nunez vpOh" Halaaand ni wetu".
Haya sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji91]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Watu wanamtukana huko kwenye page yake[emoji23][emoji23][emoji23]matusi yote wamemwangushia ...jana kafanya ujinga mwingi sana na pep hajamtoa daaa....!Huwa najiuliza kwanini foden hataki kutambua uwepo wa haaland? Dogo ni fala sana
Halland si kapata clear chance kakosa pia mwenyewe tu na kipa.Huwa najiuliza kwanini foden hataki kutambua uwepo wa haaland? Dogo ni fala sana