Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
3point ...!!Watu wapo pungufu Ila tunapelekewa moto...yani tuko out of possession kabisa
Ngonja twende international break ,tukirudi tuko na manyumbu ....!!!Haaland kiatu kakipania
Pep Guardiola (on Jack Grealish):
"We didn't sign him for goals and assists at Aston Villa - there were other reasons. He is a nice guy, and when he doesn’t play he is the first to help the team. I am delighted about his behaviour and everything. I want him to score goals and get assists, and he does too. But it’s not about that, it's how he contributes without the ball and if he produces for the other ones, many things he is able to do. He started [the season] really well and then had to stop because of problems in the ankle and we were lucky it was not worse.
In the last game in the final third, he was the only one making an aggressive one v one. But the moment to make assists, his mates weren’t in the box, we left him isolated. I know him and I am more than happy and delighted with what he is doing. It’s now just a question of time for him to get back the momentum he had at the start of the season.
He understands us and we understand him. Just to have the continuity that I tried to give him, because he deserves it, is to be yourself, don't be what people expect you to be - be yourself as a person and a player, and that is the only concern. Try to get better than yesterday and tomorrow be better than today. That’s all. I don’t want to ask them to do something they can’t do."
View attachment 2359995
Duh! Uliadimika sana mkuuMkuu vip habar za muda, naona kitamb sijavisit JF asee....naon timu imefanyiw rebuild kweny Frontline na bwana Pep...na uzuri ni kwamb pep huwa hafany makosa kwenye signings zake kasoro kwa jack ndo kashindwa kucope na system yetu hadi sasa but wengine wamefit vyema.
Pia kwa upande wa haaland nakubali performance yake iko vyema kikubwa ni kuomba asipate injury na kama hili halitotokea basi tutegemee kuona striker wa kwanza wa umri wake kufunga goli 30-40 EPL...kwa kuzingatia physical ability ya haaland+chance created na KDB & BERN...tutegemee kuona makubwa kwa huyu bwa.mdogo.
Kwa upande wa Phillips ni kuomba apone na awe fit maana huwa anastruggle sana na injuries yule jamaa but akiwa fit ana work rate nzuri tu.
Hahaha!...utafutaji mkuu, kun project iliniwek bize sana hadi kukosa wakati wa kuvisit JF...
Mzima kabisa ndugu yangu, ila Haaland anazidi kutisha sana si Epl si Ucl.Hahaha!...utafutaji mkuu, kun project iliniwek bize sana hadi kukosa wakati wa kuvisit JF...
But naangaliaga every game ya City anzia EPL hadi UCL...vip lakin yu mzim ndugu?
Grealish pamoja na kupuyanga kote lakin bado ni kipenzi Cha pep ....Mkuu vip habar za muda, naona kitamb sijavisit JF asee....naon timu imefanyiw rebuild kweny Frontline na bwana Pep...na uzuri ni kwamb pep huwa hafany makosa kwenye signings zake kasoro kwa jack ndo kashindwa kucope na system yetu hadi sasa but wengine wamefit vyema.
Pia kwa upande wa haaland nakubali performance yake iko vyema kikubwa ni kuomba asipate injury na kama hili halitotokea basi tutegemee kuona striker wa kwanza wa umri wake kufunga goli 30-40 EPL...kwa kuzingatia physical ability ya haaland+chance created na KDB & BERN...tutegemee kuona makubwa kwa huyu bwa.mdogo.
Kwa upande wa Phillips ni kuomba apone na awe fit maana huwa anastruggle sana na injuries yule jamaa but akiwa fit ana work rate nzuri tu.
Haaland kuachia ile namba ni ngum sana...na ata pep hawezi mueka nje mtu ambaye allmost every touch zake zinazaa magoli...itafika wakati alvarez ataanza muombea majeruhi mwenzie maana hamn namna sas ili yeye apate kudhihirisha kipaji chake...😅😅😅Grealish pamoja na kupuyanga kote lakin bado ni kipenzi Cha pep ....
Mimi namuonea huruma tu Alvarez,jamaa anapambana sana ila ni Kama pep hataki kumwamini kabisa ,itafika hatua Alvarez atatamin kuondoka maana kusubili nafasi ya haaland ambayo haijulikan ataipata lini ni tatizo kubwa ....
Mbaya zaidi anataka kucheza sana ili apate ticket ya kwenda kucheza world cup ,lakin ndio hivo nafasi inakuwa finyu kwake ,naona hata huko kombe la Dunia anaweza asiitwe Kwan wakiaangalia performance yake currently basi hawezi pata namba ....
But Alvarez ni bonge la mchezaji ,anajua kupress , energy kubwa ,naona tukimpoteza Kama Jesus aisee .....maana siku pep akianziwa kurushiwa maneno kisa Alvarez ataanza kumchezesha kutokea pembeni ...
Alvarez kusubili namba ya haaland pale ni sawa na kusubili meli airport...kazi ni nzito [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kijana ni wamoto🔥🔥🔥 anafanya kazi yake vyema kabisa.Mzima kabisa ndugu yangu, ila Haaland anazidi kutisha sana si Epl si Ucl.
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Mahrez ni mzuri sawaa...lakini tokea apewe mkataba mpya mwishoni mwa msimu ulioisha... amepunguza makali yake kabisa na ukiangalia ligi hivi sasa ni ngumu ivyo apumzishwe tu adi atakaporudisha Form yake kwanza au awe anatokea subs timu ikiwa tayari ina matokeo.Performance ya foden ni hatari mpaka grealish anaonekana weak ...
Hapa kinachotokea ni kwamba foden anatafuta mkataba mpya na mnono ,hivyo basi ndio maana unaona anamapafu ya mbwa uwanjan ....
Unamjua Mahrez wa uefa ,? Psg wanamjua vzuri ,alikuwa anauwasha hatari ,...saizi kapooza vibaya mnoo ...nimekuja kugundua alikuwa anatafuta mkataba mpya ...baada tu ya kusain performance umepungua sijui huwa wanakubwa na Nini ....
Ona hata salah [emoji23] baada tu ya kusain mkataba Liverpool,sio yule salah tunae mjua ....