K11
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 3,447
- 11,274
Chelsea ana vikombe vyote vya ulaya tofauti na Arsenal, ila City ni mtoto kama Arsenal maana wote hawatambuliki UlayaMkuu unaongea upo serious ? Chelsea na city giant kwa Washika Bunduki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chelsea ana vikombe vyote vya ulaya tofauti na Arsenal, ila City ni mtoto kama Arsenal maana wote hawatambuliki UlayaMkuu unaongea upo serious ? Chelsea na city giant kwa Washika Bunduki?
Sasa nyinyi mbuzi zikitajwa timu kubwa unafikiri na nyinyi mnajumuishwa?Uwe na adabu, Arsenal alipiga 3 takatifu
Arsenal ipi ambayo haina kombe la European au ulitaka uonekane unaujua mpira wakati you know nothing?Chelsea ana vikombe vyote vya ulaya tofauti na Arsenal, ila City ni mtoto kama Arsenal maana wote hawatambuliki Ulaya
Hili kombe la ulaya linaitwaje embu tujuzeArsenal ipi ambayo haina kombe la European au ulitaka uonekane unaujua mpira wakati you know nothing?View attachment 2414793
Some hapo kama hauelewi googleHili kombe la ulaya linaitwaje embu tujuze
Hilo kombe ulio google linatambulika kama kombe gani la ulaya je linatambulika na Uefa?Some hapo kama hauelewi google
Tukirudi baada ya world cup game 3 za mwanzo zitaamua Kama kweli tupo serious na ubingwa au laaah .....
Leo wachezaji sijui walicheza wanawaza wasipate injury kudadekiii ....
Defence yetu ilikuwa exposed vibaya mnoo mpaka unahisi hatuna bekiii ....
Newcastle yupo serious na epl ,watu sijui kwanini hawashituki ...watakuja kushangaa Newcastle yupo juu paleee
City bado ndio mabingwa watarajiwa. Arsenal nafasi bado wanayo lakini uwepo wa city ni tatizo kwao.Man city ishakuwa papatu, haaland wameshamjulia, arsenal bingwa na newcastle run-up.
Nyukaso Jana wamewazibua mutaro heheheheheWATAMU NYIE ALAAH🤣🤣