The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mkuu unaongea upo serious ? Chelsea na city giant kwa Washika Bunduki?
Chelsea ana vikombe vyote vya ulaya tofauti na Arsenal, ila City ni mtoto kama Arsenal maana wote hawatambuliki Ulaya
 
cocastic
7B2D35CA-C82F-4933-891C-D7C427D2F17A.jpeg
 
Tukirudi baada ya world cup game 3 za mwanzo zitaamua Kama kweli tupo serious na ubingwa au laaah .....

Leo wachezaji sijui walicheza wanawaza wasipate injury kudadekiii ....

Defence yetu ilikuwa exposed vibaya mnoo mpaka unahisi hatuna bekiii ....
 
Nyie ni matakataka😂
Mmeona lakini timu za kiumeni tulivyoupiga mwingi?
Tukirudi baada ya world cup game 3 za mwanzo zitaamua Kama kweli tupo serious na ubingwa au laaah .....

Leo wachezaji sijui walicheza wanawaza wasipate injury kudadekiii ....

Defence yetu ilikuwa exposed vibaya mnoo mpaka unahisi hatuna bekiii ....
 
Newcastle yupo serious na epl ,watu sijui kwanini hawashituki ...watakuja kushangaa Newcastle yupo juu paleee
 
Back
Top Bottom