The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

hili goli duh, ortega alikua anaenda wapi sjui

soton 2:0 man city
 
Jamaa wanapiga direct football matata sana.
Hatuko kwenye rythym yetu ya siku zote.Tunapoteza mipira hovyohovyo.
 
tumekosa ubunifu katikati.
kalvin phillips kashindwa kudictate mchezo.
Alvarez na Foden hamna wanachofanya.

Inabidi aingie kdb, mahrez, na rodri hakuna namna.
Philips, cole palmer na foden watoke.
 
Half time tuko nyuma kwa 2:0
hapa inabidi uingizwe full mukoko tu.
 
tumekosa ubunifu katikati.
kalvin phillips kashindwa kudictate mchezo.
Alvarez na Foden hamna wanachofanya.

Inabidi aingie kdb, mahrez, na rodri hakuna namna.
Philips, cole palmer na foden watoke.
Hapa nipo macho kwa hii 2nd half, naona KDB , Ake na Akanji wamechoma ndani.
 
tumekosa ubunifu katikati.
kalvin phillips kashindwa kudictate mchezo.
Alvarez na Foden hamna wanachofanya.

Inabidi aingie kdb, mahrez, na rodri hakuna namna.
Philips, cole palmer na foden watoke.
Phillips pale kati kapoteana ...kama hali ndio hii kwa rodri atasubiri sana.
 
Man u washindwe wao tu....japo na newcastle bado anawachora .
 
Back
Top Bottom