Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa nipo macho kwa hii 2nd half, naona KDB , Ake na Akanji wamechoma ndani.tumekosa ubunifu katikati.
kalvin phillips kashindwa kudictate mchezo.
Alvarez na Foden hamna wanachofanya.
Inabidi aingie kdb, mahrez, na rodri hakuna namna.
Philips, cole palmer na foden watoke.
Phillips pale kati kapoteana ...kama hali ndio hii kwa rodri atasubiri sana.tumekosa ubunifu katikati.
kalvin phillips kashindwa kudictate mchezo.
Alvarez na Foden hamna wanachofanya.
Inabidi aingie kdb, mahrez, na rodri hakuna namna.
Philips, cole palmer na foden watoke.
85' Soton 2:0 cityHapa hatuna chetu tukubali yaishe
DuhGame bado hii