ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,767
- 6,575
[h=6]crazy football match at the eithad . . . game tamu!
[/h]
yah it is real crazy..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[h=6]crazy football match at the eithad . . . game tamu!
[/h]
hongereni sana ila jamaa wamewapa shughuli .. ndugu zangu bwawa la maini wakikutana na hawa sijui itakuwaje
This is the best game so far. Hawa Southampton kama wakiendelei hivi watatusumbua watu wazima.
nimeipenda attacking forward yao ni noma..
Mshukuru Dean ooops Webb kwa kuwabeba ... .... .... ..... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee na ubingwa mmeshapewa na pundit wa BBC .... ..... ...... .... chacha chijui kwa nini mlienda uwanjani?
![]()
Agony: Aguero writhes
haya bwan nasikia song kesho anatambulishwa camp nou sijui msimu huu itakuwaje kwenu..
BTW eid mubarak long time no see you mkuu wacha1
haya bwan nasikia song kesho anatambulishwa camp nou sijui msimu huu itakuwaje kwenu..
BTW eid mubarak long time no see you mkuu wacha1
Mkuu chichi hatubembelezi wachezaji hata wakitaka kuondoka wote Wacha waende, watupe mpunga tu tutabaki na wachezaji wanaopenda kuchezea timu yetu sio wanaopenda pesa, wakishapata uzoefu wanaanza kudai mambo ambayo Gunners hawawezi kuwalipa. Huko Spain wanaishia kukaa bila kulipwa kwa miezi kadhaa, subiri utaona matokeo ya hizi timu zinazotegemea ma-sugar daddies. Fukuto la RVP litamwondoa Fungie very soon .... ..... .... ...
BAK usiwe na shaka mwaka jana walisema tutashuka daraja then wenzetu wanategemea kubebwa lakini kila uchwao hawaishi kutuonea Wivu. Prof anaondoa bad apples.
Kumbe leo ni Eid .. ..... .... .. wala chikujua walah ... .. umefaidi pilau Eh! majukumu mkuu.
Je man city ataweza vunja historia yake kuwa hajawahi mfunga liverpool katika uwanja wa ANFIELD kwa season 9 mpaka sasa!? Na bado itabakia historia
hivi jamani man city wana historia gani..? mbona mnalazimisha mambo..?
kuchukua kombe kwa dk za majeruhi..
mkuu!! leo mnakipiga na bwawa la maini!.... naona kama game itakuwa suluhu!