Haaland ni clinical finisher ,ni mrefu ,ana miguu mirefu ,Kwa hiyo cross nyingi kwenye box Kuna asilimia 90 kuziwin nakutupia kambani ...tofauti na Alvarez ...
Alvarez ni mzuri kwenye build up , kwenda mbele ....
Mfano unaona Lile goli la pili alilofunga kdb dakika 46 ,ile long ball kuhamisha uwanja upande kumtafuta Mahrez kule juu alipiga Alvarez....ambapo Mahrez alifikia mpira Yuko free akapiga cross chin kdb akajaa kambani ....kitu ambacho haaland hawezi .....
Unaweza kuona Alvarez anadrop chin kabisa huku ,wakati halaand anapenda kukaa katikati ya defender kufanya mikimbio wampigie pass kwenda mbele ...
Alvarez anaweza kucheza false 9 kuliko natural striker ....