The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kuna uwezekano mkubwa barca wakakubali dau la City la €90 million kwa ajili ya Ansu Fati kutokana na hali ngumu ya kiuchumi waliyonayo ambapo inatakiwa wauze baadhi ya wachezaji ili waweze kusajili.
 
Kuna uwezekano mkubwa barca wakakubali dau la City la €90 million kwa ajili ya Ansu Fati kutokana na hali ngumu ya kiuchumi waliyonayo ambapo inatakiwa wauze baadhi ya wachezaji ili waweze kusajili.
Mkuu Mimi sijamfuatilia ansu fati game za Barcelona,unamuona anaweza kufit kwenye mfumo wa pep kweli ....

Sion ansu fati kama anaweza kumuweka Nan bench ...

Cheki kina palme ,lewis , Phillips ,wanavostruggle kuingia kwenye kikosi ....
 
Yule Ansu fati akiletwa atasaidia tu kuongeza depth ya kikosi.

At his prime, ansu alikua bonge la winga mpaka mkataba aliosaini nafkiri 2021 waliweka release clause ya €1 billion kwa timu itakayotaka kumchukua.

Kwasasa hana namba pale barca na sioni hata pale city kama ataingia moja kwa moja kwenye kikosi.
 
Chelsea wamefukuza kocha, hawa jamaa huenda wakaamka kwa muda.

Wangevutavuta siku tuwapige kwanza.
 
Mkuu Mimi sijamfuatilia ansu fati game za Barcelona,unamuona anaweza kufit kwenye mfumo wa pep kweli ....

Sion ansu fati kama anaweza kumuweka Nan bench ...

Cheki kina palme ,lewis , Phillips ,wanavostruggle kuingia kwenye kikosi ....
Uchezaji wa ansu fati na foden hautofautiani sana.
 
[emoji2424] Pep Guardiola: "I have the feeling if we lose a game, we lose the Premier League... If we lose to Southampton, we're out. I don’t expect Arsenal are going to drop a lot of points like I didn’t expect it in the past when we won the Premier League by one point vs Liverpool.."
 
Haaland ni clinical finisher ,ni mrefu ,ana miguu mirefu ,Kwa hiyo cross nyingi kwenye box Kuna asilimia 90 kuziwin nakutupia kambani ...tofauti na Alvarez ...

Alvarez ni mzuri kwenye build up , kwenda mbele ....

Mfano unaona Lile goli la pili alilofunga kdb dakika 46 ,ile long ball kuhamisha uwanja upande kumtafuta Mahrez kule juu alipiga Alvarez....ambapo Mahrez alifikia mpira Yuko free akapiga cross chin kdb akajaa kambani ....kitu ambacho haaland hawezi .....

Unaweza kuona Alvarez anadrop chin kabisa huku ,wakati halaand anapenda kukaa katikati ya defender kufanya mikimbio wampigie pass kwenda mbele ...

Alvarez anaweza kucheza false 9 kuliko natural striker ....
Alvarez ni underrated long passer, nimefatilia mechi zake pale River plate nimegundua hilo.
 
Kuna uwezekano mkubwa barca wakakubali dau la City la €90 million kwa ajili ya Ansu Fati kutokana na hali ngumu ya kiuchumi waliyonayo ambapo inatakiwa wauze baadhi ya wachezaji ili waweze kusajili.
€90m kwa msugua benchi pale barca ni zaidi ya kamari.
 
Tutegemee kumuona stones kwenye mechi nyingi zaidi akianza kama right back kwenye makaratasi (holding midfielder kwenye pitch).

Kwenye mechi ya liverpool, stones alitawala dimba zaidi kuliko Rodri.
 
Alvarez ni underrated long passer, nimefatilia mechi zake pale River plate nimegundua hilo.
Alvarez anatakiwa awe adapted kucheza kama namba 10 nyuma ya Haaland.
Ana sifa zote za kucheza kama namba 10, ana jicho la pasi hatari sana.
It's up to Pep now to figure out the possibility of deploying him as our no. 10, not just perceiving him as Haaland's altenative.
 
Tutegemee kumuona stones kwenye mechi nyingi zaidi akianza kama right back kwenye makaratasi (holding midfielder kwenye pitch).

Kwenye mechi ya liverpool, stones alitawala dimba zaidi kuliko Rodri.
Pep experimented with stones as inverted fullback back in 2018 but it backfired and we lost all games he played in that position in a row.

Kwasasa naona ka improve na ameonyesha kulihimili hilo eneo vilivyo na kadri anavyozidi kucheza anazidi kuimarika.
 
Kaka yake Guardiola, Pere ana uwezekano mkubwa wa kuwa agent wa Gabriel Veiga.

Hii itasaidia kwa kiasi kikubwa kupush deal la Veiga kuja City.
 
Kama Liverpool akimshika arsenal hata draw jumapili basi matumain yatakuwa makubwa ...
 
Kama Liverpool akimshika arsenal hata draw jumapili basi matumain yatakuwa makubwa ...

Wala msituingize ktk ugomvi wenu.
Hii Man City ni upupu sana,inaweza mfunga Arsenal ikaenda poteza points kwa Southampton.
Ni unpredictable sana msimu huu,haistahili kuwa mabingwa wa kombe lolote,wajipange tu kwa 2023/24
 
Back
Top Bottom