Adipoz
JF-Expert Member
- Jan 24, 2023
- 527
- 459
Klopp mzee wa kufa na tai shingoni.Jana Trent alikua anacheza kama inverted full back, for the first time this season nimemuona Trent halisi jana.
Alikuwa kwenye kiwango bora sana, nilikuwa sielewi klopp alikua wapi kuchukua hatua kama hii mapema na wakati anajua mid yake inahitaji damu changa.
Kwa namna uchezaji wa trent ulivyo unaonesha directly ana uwezo wa kucheza hiyo role ila klopp yeye anasimamia anachokiamini..saivi naona kaamua kuadapt kulingana na uozo wa middle ya liva.